ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄