Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

Chid alisema hatapanda jukwaa la kisiasa ili kulinda brand yake kwa mashabiki wake, mara akaja kupanda jukwaa la kijani akikampenia kile chama cha wasanii wakubwa! Hawa wasanii wakubwa waombe tu msamaha kwa mashabiki wao, vinginevyo watapigwa doro mpaka wakome kupanda jukwaa la kijani kukampenia kile chama kikongwe barani Afrika
Hatuhitaji msamaha kila mtu akae kwenye line yake
 
Waende kupiga show uganda ,nigeria ,comoro ,burundi ,rwanda na congo ila TANZANIA NA KENYA hawatoboi.
 
Mjini mambo ni Mengi, msanii analipa watu mikoa yoote wanaitwa Fans ili wawe wana comment kwenye account zao
Unakumbuka lile tukio la alikiba kuwapa DILI vijana waende kwenye show ya diamond wamwagie mikojo, mmoja wao ni yule dogo Isa Azam, huyo DOGO akakataa akapeleka umbea kwa diamond huku alidai ye na kiba ni ndugu ila Hilo DILI alilikataa
 
Wengi walifata mkumbo wa yule jamaa wa tandale wasijue tayari huyo haitaji mziki kwa sasa kuingiza kipato. Yeye akiwa karibu na matharimu ni sawa sababu analinda mifuko ya biashara zake
Hayo maelezo ya kuwa Mond haitaji mziki ili kuendeleza maisha yake sio kweli.

Mikataba ya matangazo aliyokuwa nayo yanafikaga kikomo, muda wakuanza upya mkataba mwingine watahitaji kutizama Ubora na umvuto wako kwa jamii. Wakishaona hakuna tena usitegemee mkataba mpya, au itakuwepo ila kwa fedha ndogo.

Kazi pia ya mziki ukiacha kutetereka kwasababu ya Uchaguzi ila AI (akili bandia) inaenda kuharibu na kupoteza wasani wengi. Wasanii wawe makini maana kwenye hili hili gepu ambalo watu wana hasira na wasanii hapo hapo ndo Miziki ya AI inaweza anza kushika kasi kama tunavyoona sa hivi. .
 
mond sio mwanmziki tu, ni public figure ata asipotoa mziki ni mtu ambae kila siku wata wanataka kujua kafanya nn
 
Back
Top Bottom