issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Laki Moja ni ndogo kwa kuokota tu kwa muungwanaYaani kazi yote hiyo kwa malipo ya laki moja tu? Wewe jamaa vipi?😁

Wao hawaogopi? Gen Z ni wakomboziMimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Mjini mambo ni Mengi, msanii analipa watu mikoa yoote wanaitwa Fans ili wawe wana comment kwenye account zaoMkuu aelewe wale wanao enda kwa WASANII kushangilia nk wamelipwa mjini hapa,
hawaamini macho yao.....walidhani raia wanatania .Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Wanakula walizovuna hapo nyuma, account zao zimenonaWasanii wa chama cha kijani wamejichangnya sana wajiandae kupiga yowe mwezi January
Si wanalipwa? Kwani hizo show hapa bongo kwa mara ya mwisho wamefanya lini hadi useme kwamba wanazitegemea?Wana hali ngumu
PEsa ya kufanya yote hayo itakata na show za kujaza hutapata mwishowe showoff inakumaliza ndio unashangaa wanaanza kubwia ungaMjini mambo ni Mengi, msanii analipa watu mikoa yoote wanaitwa Fans ili wawe wana comment kwenye account zao
Wamevimba hawatuhitaji sisi fans wao.Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
HakunaMimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Wapo wanafanya show usiku leo kwenye viclub vya wamiliki wa CCM utaliwa laki yako ila ni wale zilipendwa wakina Banana Zahiri Zorro, Matonya, Chid Benz, MB Dogg, nkUkipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Sema wasanii sio msaniiMimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Zimetembea kwa level yakeUsiwaamini sana wabongo, wengi hawajielewi na mikazo hawawezi.
Wamejirudi kwa wasanii kwa kasi sana tegemea hata kama show itatangazwa kesho jamaa watajaza tu.
Nilitarajia ngoma za lukamba zitembee sana ila imekuwa tofauti.