Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

🤣 🤣 🤣 jitahidi kumeza dawa zako mapema, anyway juzi marioo alikua na show kenya pia nlijua unataka na za kenya pia
Leta picha na namba yako ya simu nikupe laki 1 yako
Umeshinda challenge
 
Wasanii wa chama cha kijani wamejichangnya sana wajiandae kupiga yowe mwezi January
Unafiki ni dhambi nao unao malipo yake kama ulivyo uchawa na vile ulivyo Uzalendo tumbo a.k.a uzalendo feki hivyo yafaa wakale walikokuwa wakipeleka mboga.Hadi watakapotambua walipo wakosea watanzania kwa ahadi za mafisadi na wezi warasilimali za hili Taifa kwa manufaa yao na wachache na sii kwa manufaa ya kizalendo kwa watanzania wote.
 
mond sio mwanmziki tu, ni public figure ata asipotoa mziki ni mtu ambae kila siku wata wanataka kujua kafanya nn
Usidanganywe hata siku MOJA hata ulaya haipo hivo uliacha toa Ngoma kwishaaaaaaa, watanzania huja wajua bado, Muulize, msanii wa doto magari, wakina Suzi bale, WABONGO wanaenda na trending mkuu
 
Usidanganywe hata siku MOJA hata ulaya haipo hivo uliacha toa Ngoma kwishaaaaaaa, watanzania huja wajua bado, Muulize, msanii wa doto magari, wakina Suzi bale, WABONGO wanaenda na trending mkuu
nyimbo ya mwisho ya jayz uliskia lini? rihana? allicia keys? 50 cents? eminem?
 
mond sio mwanmziki tu, ni public figure ata asipotoa mziki ni mtu ambae kila siku wata wanataka kujua kafanya nn
Ulaya mpaka kesho Celine Dion, Shania Twain ana and a show na bado anajaza kwa nyimbo za zamani TU, mwambie mr nice, chid Benz, au hata Hawa wa Sasa wajaze makumbi TU wenyewe achia viwanja vya mpira ambavo hata MONDI mwenyewe hawezi
 
sasa kumbe akili unayo alafu ulikua umeificha! sasa uache kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu
 
nyimbo ya mwisho ya jayz uliskia lini? rihana? allicia keys? 50 cents? eminem?
Alicia Keys

• L’aurora / La aurora (2025) – Track
• Kaleidoscope (2024) – Track
Last album: Keys (2021)

50 Cent

• Gunz N Smoke (2024) – Track
Last album: Animal Ambition (2014)
Eminem
• Houdini (2024) – Track
• Somebody Save Me (2024) – Track
• The Death of Slim Shady (2024) – Album

Jay-Z

• Spaghettii (2024) – Track (feature on Beyoncé’s album)
 
Kwa uchumi wa zenji hata viingilio sidhani kama wanaweza lipia tiketi
Wametarget wazungu na Masai na wazenji wachache, alafu show za kuke Huwa sio za watu wengi ukitoa foolmoon party na madisco WASANII KULE hawana soko, wanabebwa na wabara ukiona show zenji jua wabara ndo wengi na watalii, bila hao DOLO ni kubwa sana
 
Yaani kulikuwa na wale underground ndio kwanza wanatoka, wakina Paten wote wamekwenda na uchaguzi wa CCM. Sijui wanauza mitumba siku hizi
 
ungekua na uelewa wa visima mbna tungejadili vizuri ila kwa kua bado mjinga we endelea na wanaokuunga mkono
Madhara ya uchimbaji visima:
•kuchafuka kwa maji ya ardhini
•kuhatarisha usalama wa watu na mifugo
•kukosa ubora wa maji
•Kuporomoka kwa ardhi
•kuongezeka kwa migogoro baina ya jamii
•mlipuko wa magonjwa nk

Na wewe nijibu kwa hoja sitaaki waimba taarabu nyie watu wa pwani mna shida, Sina Imani kama una mume huwenda hilo ni tatizo
 
nadhan jibu la kwanza lilikufaa, kapate elimu kwanza
 
Back
Top Bottom