Yaani kazi yote hiyo kwa malipo ya laki moja tu? Wewe jamaa vipi?😁Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa.
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote TANZANIA
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Watajutia maisha Yao yotee wameua ego Yao wamenikumbusha kitabu kinachoitwa ego is the enemyWamepata somo zuri sana, tamaa ya vichenji vya mwezi mmoja wa campaign vinaenda kuwagharimu parefu
Lete picha Wacha manenoHiyo inasaidia nini?
Usiwaamini sana wabongo, wengi hawajielewi na mikazo hawawezi.Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa.
Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote TANZANIA
Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina wa visingeli vya uswazi
Nikisema wasanii namaanisha wale waliofanya kampeni za CCM
Ukipata picha ya ukwelli, PM Iko wazi weka namba yako ya kupokea fedha, subiri mkwanja uingie Kwa account
Merry Christmas 🎄
Hao mazafakas sasa wapige show kwenye bedrooms zao tu!Huu ndo mwezi wa show, msanii anapiga hata show kumi kwa mwezi mmoja tu si mchezo ila ndo hivo
Mpaka Kenya wanaogopa kwenda, wakenya waligoma kucheza mziki kisa imepigwa nyimbo ya mbosso, wakadai vijana wa tz wameuliwa na WASANII wamekaa kimya, balaa watu walitaka kufanya fujoHao mazafakas sasa wapige show kwenye bedrooms zao tu!
Sio rahisi hivoUsiwaamini sana wabongo, wengi hawajielewi na mikazo hawawezi.
Wamejirudi kwa wasanii kwa kasi sana tegemea hata kama show itatangazwa kesho jamaa watajaza tu.
Nilitarajia ngoma za lukamba zitembee sana ila imekuwa tofauti.
Wengi walifata mkumbo wa yule jamaa wa tandale wasijue tayari huyo haitaji mziki kwa sasa kuingiza kipato. Yeye akiwa karibu na matharimu ni sawa sababu analinda mifuko ya biashara zakeWatajutia maisha Yao yotee wameua ego Yao wamenikumbusha kitabu kinachoitwa ego is the enemy
Mkuu aelewe wale wanao enda kwa WASANII kushangilia nk wamelipwa mjini hapa,Sio rahisi hivo