Ukipanga maeneo haya Dar sahau kufanikiwa

πŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Oooooooui! hii chai leo sukari imekolea!
 
Hiyo ni imani yako. Alafu umeishi nyumba moja Tandika kisha una conclude na maeneo mengine.

Watu wa Pwani huwa na ukarimu huo wa kutoa chakula hasa ukiwa bachela ( hata baadhi ya watu wa mikoani wanayo) kwa roho yako mbaya kwa tabia yako ya ushirikina ukatafsiri vibaya. Kikwazo Ni imani na mawazo yako
 
Tabata pazuri sana, nilipanga nyumba ya mama mmoja hivi mtu wa iringa aisee, alikuwa hana time na mpangaji wake, pale kidogo nilisogea kimafanikio na kakibanda nikapata.
Mkuu niunganishie basi kwa huyo mama kuna familia inatafuta nyumba ya kupanga maeneo hayo ya Tabata
 
Mitaa gani iyo niamie
 
Haya maeneo ni rahisi kufanikiwa yana watu wengi ambao unaweza kuwatumia kama fursa kwako, ni dhahiri wewe msomi na umeajiriwa sehemu,elimu yako na ajira vimefunga mawazo ya kuziona fursa nyingine.
 
Sababu ya kutokufanikiwa ukiishi maeneo hayo ni hiyo ya kuwekewa Vikao na kudiskasiwa au kuna Nyingine?
Mpk sasa sijaona sababu ya yeye kutaja hayo maeneo....kwahio wote walioishi buguruni,gongo la mboto hawajafanikiwa....Ujinga mwingi...
 
hii ni kweli kabisa
imenikuta pia kipindi naishi maeneo ya Buguruni walikuwa wanitegeshee binti yao mmoja siku namleta demu wangu siku hiyo nyumba nzima walininunia

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuhaamia tabata ile nyumba ilikuwa na baraka aiseeh, nikipata bahati ya kupata kazi kampuni fulani mambo hayakuwa mabaya hapo ndio mafanikio yangu yalianzia.
Umenikumbusha wimbo wa zamani "Mtaa wa Saba"
 
Mpaka sasa nimeona umeorodhesha tu maeneo lakini cjaona sababu yeyote ya wewe kutofanikiwa ... kumbuka kufuliwa nguo , kuwekewa chakula , hizo siyo sababu ... naona hufanikiwi kwasab unawa waza watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii inategemea na aina ya mama mwenye nyumba, mimi bhna kipindi nasoma nilipanga chumba familia ya mwenye nyumba ilikuwa na ujamaa sana...yaani wananilazimisha nile nao chakula, imagine umetoka chuo ukae nje kwenye mkeka ule na familia ya mama mwenye nyumba hii kitu ilinishinda...alikuwa ananaksirika kabisa tusipoenda kula,
Kimbwanga ilikuwa hela ya umeme na maji, hatakama nikifunga chuo nadaiwa hela ya umeme...nikileta demu ghetto binti yake wakike anakiwasha ile mbaya anaongea hatarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…