Ukipanga maeneo haya Dar sahau kufanikiwa

Hii inategemea na aina ya mama mwenye nyumba, mimi bhna kipindi nasoma nilipanga chumba familia ya mwenye nyumba ilikuwa na ujamaa sana...yaani wananilazimisha nile nao chakula, imagine umetoka chuo ukae nje kwenye mkeka ule na familia ya mama mwenye nyumba hii kitu ilinishinda...alikuwa ananaksirika kabisa tusipoenda kula,
Kimbwanga ilikuwa hela ya umeme na maji, hatakama nikifunga chuo nadaiwa hela ya umeme...nikileta demu ghetto binti yake wakike anakiwasha ile mbaya anaongea hatar[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mkuu ulikuwa unakataa chakula cha bure?
 
Mmekusahau tabata (kisukulu) kisukulu ikiwa na maana ya "kisu-kikali) ni eneo gumu hatari, lina wanga waliostaarabika yaani wapole ishu zao ni chinichini wana gia la ustaarabu mwingi na unyeyekevu lakini kaa chonjo.
 
Aisee huko ndio mitaa iliotulea hilo anga lote ni chafu yani hutoboi 😂 nilikuwa najiuliza kwanini vijana wengi wameharibikiwa. Waliosoma hawana maendeleo. Nmesota sana ila kumbe chanzo ni wanga wengi na wamevuruga maisha ya wengi sana. Deile ilikuwa naamka na chale mwilini vilinge vya wachawi usiku nilikuja kusanda nikasepa😂😂😂!!!

Lile eneo lote anzia Tabata Kimanga mpaka Kisukulu hakuna nuru ni pazito mno.
 
hii ni kweli kabisa
imenikuta pia kipindi naishi maeneo ya Buguruni walikuwa wanitegeshee binti yao mmoja siku namleta demu wangu siku hiyo nyumba nzima walininunia

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
😂😂
Mmekusahau tabata (kisukulu) kisukulu ikiwa na maana ya "kisu-kikali) ni eneo gumu hatari, lina wanga waliostaarabika yaani wapole ishu zao ni chinichini wana gia la ustaarabu mwingi na unyeyekevu lakini kaa chonjo.
😂😂
 
Aisee huko ndio mitaa iliotulea hilo anga lote ni chafu yani hutoboi 😂 nilikuwa najiuliza kwanini vijana wengi wameharibikiwa. Waliosoma hawana maendeleo. Nmesota sana ila kumbe chanzo ni wanga wengi na wamevuruga maisha ya wengi sana. Deile ilikuwa naamka na chale mwilini vilinge vya wachawi usiku nilikuja kusanda nikasepa😂😂😂!!!

Lile eneo lote anzia Tabata Kimanga mpaka Kisukulu hakuna nuru ni pazito mno.
🤣🤣🤣
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao.

Tandika

Buguruni

Mbagala

Gongo la mboto

Buza kwa mpalange

Mwananyamala

Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi hicho nafanya kazi maeneo ya uwanja wa ndege hivyo niliona ni sehemu sahihi kufikika kirahisi kwenye kibarua changu.

Nikiwahi kukutana na kisa kimoja mama mwenye nyumba alikuwa na binti zake, wapo tu nyumbani.

Jumapili nikiwa nikishinda nyumbani girlfriend wangu alikuwa kila weekend anakuja magheto, sasa tulikuwa tunakutana na kero mama na wanae ni vicheko vya kinafiki makelele mara waweke muziki wa taarabu sauti juu.

Maeneo haya ukijichanganya ukaanza mahusiano na mabinti wa maeneo hayo umekwisha, wakikuona unamaisha mazuri wanakutegeshea binti yao wakikunasa ujue ndoa ya mkeka inakuhusu.

Sasa wakaona sinasi wakaanza kuniwekea msosi kila nikirudi kutoka job nakuta msosi, nikasema poa wakileta nafinya alafu sitaki mazoea 😃😃.

Mara wewe upo busy sana, uwe unaacha nguo tukufulie nasema poa, nilikuja kuhama haya maeneo nilihamia maeneo fulani hivi Tabata huku kidogo nilikutana na utofauti kila mtu na mishe zake.
Matatizo ya watu wa bara hayo kutoelewa mambo ya pwani.

Kufanikiwa ni akili yako tu, wala hakuhusiani na unaishi wapi.

Mfano kama wewe ulikuwa na akili ya kutafuta ajira, umepata ajira, na huo ndo msingi wa mafanikio yako. Mambo ya mwenye nyumba na mabinti zake yatakupotezeaje mafanikio? Sema tu ukiwa umetoka kwenye mfumo wa elimu maisha ya watu ambao hawajasoma sana kama wewe ujanani utayashangaa kama hivyo. Ila ukishaongeza umri na kupitia maeneo mengi mengi kimaisha (au ukiingia kwenye siasa) kushangaa kutapungua.
 
Nakata Rufaa kwanini umekusahau Kawe? Kuna sehemu inaitwa Ukwamani Makaburi Matatu jirani na kwa Mzee Marehemu Mzee wa Chabo ( Baba Naa ) huko Kukutana na Paka ama Anajamba au anakuamkia Shikamoo au Anakusonya au anakuomba ukibakiza Chakula umhifadhie ni Jambo la Kawaida sana.
Kwanini baba naa lakini [emoji2]!!?

Sent from my ANE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa tukaishi wap maana Dar yote ni uswazi tu na hayo maeneo machache ili ukakae huko masaaki inabidi uwe ushafanikiwa kabisa
Life style yako ndio itaamua ufanikiwe au laa
 
Baada ya kuhaamia tabata ile nyumba ilikuwa na baraka aiseeh, nikipata bahati ya kupata kazi kampuni fulani mambo hayakuwa mabaya hapo ndio mafanikio yangu yalianzia.
Kwa hiyo tandika hukuwa na kazi na ukataka mafanikio?
 
Nakata Rufaa kwanini umekusahau Kawe? Kuna sehemu inaitwa Ukwamani Makaburi Matatu jirani na kwa Mzee Marehemu Mzee wa Chabo ( Baba Naa ) huko Kukutana na Paka ama Anajamba au anakuamkia Shikamoo au Anakusonya au anakuomba ukibakiza Chakula umhifadhie ni Jambo la Kawaida sana.
Hii kamba mamaee [emoji16][emoji16]
 
Hii inategemea na aina ya mama mwenye nyumba, mimi bhna kipindi nasoma nilipanga chumba familia ya mwenye nyumba ilikuwa na ujamaa sana...yaani wananilazimisha nile nao chakula, imagine umetoka chuo ukae nje kwenye mkeka ule na familia ya mama mwenye nyumba hii kitu ilinishinda...alikuwa ananaksirika kabisa tusipoenda kula,
Kimbwanga ilikuwa hela ya umeme na maji, hatakama nikifunga chuo nadaiwa hela ya umeme...nikileta demu ghetto binti yake wakike anakiwasha ile mbaya anaongea hatar[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa unakula binti yake nini ?

Mimi nilishajifunza [emoji16] demu wa kupitia mara moja sileti ghetto

Sitongozi mpangaji mwenzangu au binti wa mama mwenye nyumba
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao.

Tandika

Buguruni

Mbagala

Gongo la mboto

Buza kwa mpalange

Mwananyamala

Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi hicho nafanya kazi maeneo ya uwanja wa ndege hivyo niliona ni sehemu sahihi kufikika kirahisi kwenye kibarua changu.

Nikiwahi kukutana na kisa kimoja mama mwenye nyumba alikuwa na binti zake, wapo tu nyumbani.

Jumapili nikiwa nikishinda nyumbani girlfriend wangu alikuwa kila weekend anakuja magheto, sasa tulikuwa tunakutana na kero mama na wanae ni vicheko vya kinafiki makelele mara waweke muziki wa taarabu sauti juu.

Maeneo haya ukijichanganya ukaanza mahusiano na mabinti wa maeneo hayo umekwisha, wakikuona unamaisha mazuri wanakutegeshea binti yao wakikunasa ujue ndoa ya mkeka inakuhusu.

Sasa wakaona sinasi wakaanza kuniwekea msosi kila nikirudi kutoka job nakuta msosi, nikasema poa wakileta nafinya alafu sitaki mazoea 😃😃.

Mara wewe upo busy sana, uwe unaacha nguo tukufulie nasema poa, nilikuja kuhama haya maeneo nilihamia maeneo fulani hivi Tabata huku kidogo nilikutana na utofauti kila mtu na mishe zake.
Tabata ndio kwenyewe, asikwambie mtu bhana
 
Kuna rafiki yangu alikua anaishi mbezi ya chini kule kuna eneo wamejaa wamakonde wanaishi kwenye viwanja vya watu toka miaka ya 90 adi leo yan adi wenye maeneo wanakufa wao wapo,huko nako ni balaa!alianza kupoteza kitu kimoja baada ya kingine,akawa haelewi ad akapata msaada wa kiroho ndo kuambiwa lile anga sio watu wanaruka sana usiku wanaharibu mambo ya watu!
 
Yote tisa. Asilimia 70% ya wakazi wa tandika ni majizi vijana kalibu wote niwezi hatari, wauza mbunye kama wote yaani hakuna ustaarabu
 
Aisee huko ndio mitaa iliotulea hilo anga lote ni chafu yani hutoboi 😂 nilikuwa najiuliza kwanini vijana wengi wameharibikiwa. Waliosoma hawana maendeleo. Nmesota sana ila kumbe chanzo ni wanga wengi na wamevuruga maisha ya wengi sana. Deile ilikuwa naamka na chale mwilini vilinge vya wachawi usiku nilikuja kusanda nikasepa😂😂😂!!!

Lile eneo lote anzia Tabata Kimanga mpaka Kisukulu hakuna nuru ni pazito mno.
🤣 🤣 🤣 Dah- Kuna mtaa niliwahi kuishi hakuna hata kijana mmoja amewahi toboa, hata waliosoma maisha ni yaleyale tu. Halafu kuna mtu anasema hakuna uchawi 🤣🤣, uchawi upo ndugu zangu ingawa usipoyaona inakuwa ngumu kuamini. Kuna nyumba niliwahi panga LINDI acha tu, nilikaa pale kama wiki 3 nikatonywa na jirani wa mtaa wa 4 ambaye huyo mama ni rafiki wa rafiki yangu tulikutana huko, alivyojua ninaishi kwenye hiyo nyumba alishangaa nime-survive vp manake kila mpangaji lazima afie ndani.
Huwezi amini nilikaa pale kama mwaka, nikajiwekeza kwenye kusali kwa bidii, ila mengi niliyaona. Kama siyo MUNGU, sijui asee 🤣🤣🤣. LINDI uchawi wa kiukwelikweli upoo wala siyo story
 
Back
Top Bottom