Yani mkuu ulikuwa unakataa chakula cha bure?Hii inategemea na aina ya mama mwenye nyumba, mimi bhna kipindi nasoma nilipanga chumba familia ya mwenye nyumba ilikuwa na ujamaa sana...yaani wananilazimisha nile nao chakula, imagine umetoka chuo ukae nje kwenye mkeka ule na familia ya mama mwenye nyumba hii kitu ilinishinda...alikuwa ananaksirika kabisa tusipoenda kula,
Kimbwanga ilikuwa hela ya umeme na maji, hatakama nikifunga chuo nadaiwa hela ya umeme...nikileta demu ghetto binti yake wakike anakiwasha ile mbaya anaongea hatar[emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni wengi sioUmesahau mburahat,mtoni kwa azizi Ali,mtongani,buza kwa lulenge,tabata mawenzi ukilala simu weka uvunguni[emoji1787][emoji1787][emoji137]
Aisee huko ndio mitaa iliotulea hilo anga lote ni chafu yani hutoboi 😂 nilikuwa najiuliza kwanini vijana wengi wameharibikiwa. Waliosoma hawana maendeleo. Nmesota sana ila kumbe chanzo ni wanga wengi na wamevuruga maisha ya wengi sana. Deile ilikuwa naamka na chale mwilini vilinge vya wachawi usiku nilikuja kusanda nikasepa😂😂😂!!!Mmekusahau tabata (kisukulu) kisukulu ikiwa na maana ya "kisu-kikali) ni eneo gumu hatari, lina wanga waliostaarabika yaani wapole ishu zao ni chinichini wana gia la ustaarabu mwingi na unyeyekevu lakini kaa chonjo.
😂😂hii ni kweli kabisa
imenikuta pia kipindi naishi maeneo ya Buguruni walikuwa wanitegeshee binti yao mmoja siku namleta demu wangu siku hiyo nyumba nzima walininunia
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
😂😂Mmekusahau tabata (kisukulu) kisukulu ikiwa na maana ya "kisu-kikali) ni eneo gumu hatari, lina wanga waliostaarabika yaani wapole ishu zao ni chinichini wana gia la ustaarabu mwingi na unyeyekevu lakini kaa chonjo.
🤣🤣🤣Aisee huko ndio mitaa iliotulea hilo anga lote ni chafu yani hutoboi 😂 nilikuwa najiuliza kwanini vijana wengi wameharibikiwa. Waliosoma hawana maendeleo. Nmesota sana ila kumbe chanzo ni wanga wengi na wamevuruga maisha ya wengi sana. Deile ilikuwa naamka na chale mwilini vilinge vya wachawi usiku nilikuja kusanda nikasepa😂😂😂!!!
Lile eneo lote anzia Tabata Kimanga mpaka Kisukulu hakuna nuru ni pazito mno.
Matatizo ya watu wa bara hayo kutoelewa mambo ya pwani.Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao.
Tandika
Buguruni
Mbagala
Gongo la mboto
Buza kwa mpalange
Mwananyamala
Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi hicho nafanya kazi maeneo ya uwanja wa ndege hivyo niliona ni sehemu sahihi kufikika kirahisi kwenye kibarua changu.
Nikiwahi kukutana na kisa kimoja mama mwenye nyumba alikuwa na binti zake, wapo tu nyumbani.
Jumapili nikiwa nikishinda nyumbani girlfriend wangu alikuwa kila weekend anakuja magheto, sasa tulikuwa tunakutana na kero mama na wanae ni vicheko vya kinafiki makelele mara waweke muziki wa taarabu sauti juu.
Maeneo haya ukijichanganya ukaanza mahusiano na mabinti wa maeneo hayo umekwisha, wakikuona unamaisha mazuri wanakutegeshea binti yao wakikunasa ujue ndoa ya mkeka inakuhusu.
Sasa wakaona sinasi wakaanza kuniwekea msosi kila nikirudi kutoka job nakuta msosi, nikasema poa wakileta nafinya alafu sitaki mazoea 😃😃.
Mara wewe upo busy sana, uwe unaacha nguo tukufulie nasema poa, nilikuja kuhama haya maeneo nilihamia maeneo fulani hivi Tabata huku kidogo nilikutana na utofauti kila mtu na mishe zake.
Kwanini baba naa lakini [emoji2]!!?Nakata Rufaa kwanini umekusahau Kawe? Kuna sehemu inaitwa Ukwamani Makaburi Matatu jirani na kwa Mzee Marehemu Mzee wa Chabo ( Baba Naa ) huko Kukutana na Paka ama Anajamba au anakuamkia Shikamoo au Anakusonya au anakuomba ukibakiza Chakula umhifadhie ni Jambo la Kawaida sana.
Kama bado hawajapata ipo nyumba ya 4 bedroom+ master maeneo ya crdbMkuu niunganishie basi kwa huyo mama kuna familia inatafuta nyumba ya kupanga maeneo hayo ya Tabata
Kwa hiyo tandika hukuwa na kazi na ukataka mafanikio?Baada ya kuhaamia tabata ile nyumba ilikuwa na baraka aiseeh, nikipata bahati ya kupata kazi kampuni fulani mambo hayakuwa mabaya hapo ndio mafanikio yangu yalianzia.
Hii kamba mamaee [emoji16][emoji16]Nakata Rufaa kwanini umekusahau Kawe? Kuna sehemu inaitwa Ukwamani Makaburi Matatu jirani na kwa Mzee Marehemu Mzee wa Chabo ( Baba Naa ) huko Kukutana na Paka ama Anajamba au anakuamkia Shikamoo au Anakusonya au anakuomba ukibakiza Chakula umhifadhie ni Jambo la Kawaida sana.
Ulikuwa unakula binti yake nini ?Hii inategemea na aina ya mama mwenye nyumba, mimi bhna kipindi nasoma nilipanga chumba familia ya mwenye nyumba ilikuwa na ujamaa sana...yaani wananilazimisha nile nao chakula, imagine umetoka chuo ukae nje kwenye mkeka ule na familia ya mama mwenye nyumba hii kitu ilinishinda...alikuwa ananaksirika kabisa tusipoenda kula,
Kimbwanga ilikuwa hela ya umeme na maji, hatakama nikifunga chuo nadaiwa hela ya umeme...nikileta demu ghetto binti yake wakike anakiwasha ile mbaya anaongea hatar[emoji23][emoji23][emoji23]
Tabata ndio kwenyewe, asikwambie mtu bhanaNiende moja kwa moja kwenye mada.
Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao.
Tandika
Buguruni
Mbagala
Gongo la mboto
Buza kwa mpalange
Mwananyamala
Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi hicho nafanya kazi maeneo ya uwanja wa ndege hivyo niliona ni sehemu sahihi kufikika kirahisi kwenye kibarua changu.
Nikiwahi kukutana na kisa kimoja mama mwenye nyumba alikuwa na binti zake, wapo tu nyumbani.
Jumapili nikiwa nikishinda nyumbani girlfriend wangu alikuwa kila weekend anakuja magheto, sasa tulikuwa tunakutana na kero mama na wanae ni vicheko vya kinafiki makelele mara waweke muziki wa taarabu sauti juu.
Maeneo haya ukijichanganya ukaanza mahusiano na mabinti wa maeneo hayo umekwisha, wakikuona unamaisha mazuri wanakutegeshea binti yao wakikunasa ujue ndoa ya mkeka inakuhusu.
Sasa wakaona sinasi wakaanza kuniwekea msosi kila nikirudi kutoka job nakuta msosi, nikasema poa wakileta nafinya alafu sitaki mazoea 😃😃.
Mara wewe upo busy sana, uwe unaacha nguo tukufulie nasema poa, nilikuja kuhama haya maeneo nilihamia maeneo fulani hivi Tabata huku kidogo nilikutana na utofauti kila mtu na mishe zake.
🤣 🤣 🤣 Dah- Kuna mtaa niliwahi kuishi hakuna hata kijana mmoja amewahi toboa, hata waliosoma maisha ni yaleyale tu. Halafu kuna mtu anasema hakuna uchawi 🤣🤣, uchawi upo ndugu zangu ingawa usipoyaona inakuwa ngumu kuamini. Kuna nyumba niliwahi panga LINDI acha tu, nilikaa pale kama wiki 3 nikatonywa na jirani wa mtaa wa 4 ambaye huyo mama ni rafiki wa rafiki yangu tulikutana huko, alivyojua ninaishi kwenye hiyo nyumba alishangaa nime-survive vp manake kila mpangaji lazima afie ndani.Aisee huko ndio mitaa iliotulea hilo anga lote ni chafu yani hutoboi 😂 nilikuwa najiuliza kwanini vijana wengi wameharibikiwa. Waliosoma hawana maendeleo. Nmesota sana ila kumbe chanzo ni wanga wengi na wamevuruga maisha ya wengi sana. Deile ilikuwa naamka na chale mwilini vilinge vya wachawi usiku nilikuja kusanda nikasepa😂😂😂!!!
Lile eneo lote anzia Tabata Kimanga mpaka Kisukulu hakuna nuru ni pazito mno.