Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?

Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?

Huwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..

Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu

Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
Wee muongo sana, JKT haihusiani na HESLB
 
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
bbfc7f8cf8724acdbed980bef232924b.jpg
 
Wewe tena ni vile unataka kunibishia tuu...
Labda nikwambie kuwa mimi nipo na mtu wa karibu anaejua hayo mambo
Shangazi wa mkoani [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee ni muongo sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda shangazi wa maporiniii.
 
Wee hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coca mi sio kiben10 now najitegemea mwenyewe alafu sasa hivi sitoki ja mashangazi natoka na kitoto kimoja hv cha kampala hapa gomzi..
😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu nasemea mkopo...
Kama ujaenda jkt uwezi pata mkopo...
Kama una uthibitisho toa hapa
Mkuu mimi hapa sikwenda JKT (nilichelewa kuripoti kambi zilikuwa zimejaa) na nina mkopo , nina marafiki zangu walienda JKT na sasa wameacha chuo kwa sababu ya kukosa mikopo
 
Mkuu mimi hapa sikwenda JKT (nilichelewa kuripoti kambi zilikuwa zimejaa) na nina mkopo , nina marafiki zangu walienda JKT na sasa wameacha chuo kwa sababu ya kukosa mikopo
Wee jamaa nimeamini ni muongo kabisa aiseeeee 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom