Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume .
Mke wa aina hii anavutia sana
Mke wa aina hii anavutia sana