Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hapana ila tu aliolewa gaflaVipi ulimuacha kwa ubaya ?
Hapana ila tu aliolewa gaflaVipi ulimuacha kwa ubaya ?
Kuna wanaume wengine unaona kabisa ukimshirikisha jambo fulani utachelewa! Regardless ya kuwa yeye ni mtawalaUkishakubali tu kuishi na mwanaume hata kama fala lazma ukubali akutawale na ufala wake
Hiyo ni kweli hapo inabidi umuweke pembeni utumie halmashauri yako yakichwa mwenyewe usimuhusisheKuna wanaume wengine unaona kabisa ukimshirikisha jambo fulani utachelewa! Regardless ya kuwa yeye ni mtawala
Safi sana🤣🤣Huyu wa sasa leo tuu katoka kunizaba kibao et kisa nyanya za kachumbari zote nimesaga kwa brenda..
Alafu cha ajabu hata ajanielekeza kuwa nitengeneze kachumbali.😥😥🙌🙌
Mtu ka huyu atakuomba ushauri kweli
Et eeeh safi sana sio ahahahSafi sana🤣🤣
Akulambe makofi hivyo hivyo.Et eeeh safi sana sio ahahah
Sema leo nimekosea ndo mana nimepoa ipa akiingia na mimi miziki yangu atakubali bora tupigane tu...Akulambe makofi hivyo hivyo.