Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nani kasema, kuja slipway hapa tupige vyombo 😅Leo blue Monday no unywaji
Nani kasema, kuja slipway hapa tupige vyombo 😅Leo blue Monday no unywaji
Unazingua na nina KIU😅Nani kasema, kuja slipway hapa tupige vyombo 😅
Vibaya mno, Wanaume wengi wameingia mkenge
Cheers 🍻, naona kiu haijakushika vizuri kijana 😅Unazingua na nina KIU😅
Tuache hayo mambo banaCheers 🍻, naona kiu haijakushika vizuri kijana 😅
Thamani ya Mwanaume iko kwenye Mali na helaNina mjomba yangu mmoja kuna kipindi mambo ya pesa yalikuwa Super alikuwa akirudi home anapigwa busu halafu wife wake anamvua kamba za viatu na kumuogesha alivyoyumba kiuchumi alijua hajui
Kweli mnajiamulia mambo 😂 enewei, mi napenda misosi 🤣Ndio si nimependa la mama🤣
Wanawake wakatili sana kwa mwanaume akipitia kipindi kigumuThamani ya Mwanaume iko kwenye Mali na hela
Ulikuwa wapi? Shamaliza kitramboo! Fanya unibless nilale mamkare!😍Kweli mnajiamulia mambo 😂 enewei, mi napenda misosi 🤣
View attachment 3613475
Tangulia kule kijiweni 📸 ukatushtue kidogo 😅
Zirudiwe kwa heshima yangu na mnitag, niitie na win-one na bi mzuri ShesRise_1 😅Ulikuwa wapi? Shamaliza kitramboo! Fanya unibless nilale mamkare!😍
rabeka da mkubwa, umeniita 😊😊Zirudiwe kwa heshima yangu na mnitag, niitie na win-one na bi mzuri ShesRise_1 😅
Na ukiona hivyo ujue anaiaminia akili yako. Kuna viazi hata huwezi kuwaza kumuuliza.Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume .
Mke wa aina hii anavutia sana
Hhhh unaona atakuingiza chakaNa ukiona hivyo ujue anaiaminia akili yako. Kuna viazi hata huwezi kuwaza kumuuliza.
Vipi ulimuacha kwa ubaya ?Daaah nimemkumbuka shangazi dorry wangu daaah maisha haya 😥😥😥
Sio rahic akawa na unyenyekevu , mara nyingi ukimchukulia poa mwanamke anayekupenda unakuja kuangukia kwa jiniHuyu wa sasa leo tuu katoka kunizaba kibao et kisa nyanya za kachumbari zote nimesaga kwa brenda..
Alafu cha ajabu hata ajanielekeza kuwa nitengeneze kachumbali.😥😥🙌🙌
Mtu ka huyu atakuomba ushauri kweli
Ukishakubali tu kuishi na mwanaume hata kama fala lazma ukubali akutawale na ufala wakeSi mpaka uwe huyo mwanaume wa kuombwa ushauri!