Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikishq mume . Mke wa aina hii anavutia sana
Tulia kijana 🤣🤣Ntakufetua😅
🏊Tulia kijana 🤣🤣
Huwa unaomba ushauri mama’ake?😅 au unajiamlia mambo tu!🤭
Usiyakuze mambo mwanetu 🤣🤣🤣Huwa unaomba ushauri mama’ake?😅 au unajiamlia mambo tu!🤭
Lete bia kijana, heat wave isije ikaniua!
Tuishi nao kwa akili na itapendeza zaidi gentleman 🐒Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
Unamkosea ba mjengoUsiyakuze mambo mwanetu 🤣🤣🤣
View attachment 3613461
Jambo zuri lakini lilikosa baraka zako. Maana yake kuna siku utaumwa ukalazwa atabadilisha majina ya hatibza viwanja kwa kisingizio Cha kuogopa kudhukumiwa na ndugu.Baada ya kumuoa ana wiki mbili ndani, nilimwachia laki nane ya matumizi mimi nikaondoka kwenda london kikazi siku ta tu, kurudi nikamkuta kanunua ng'ombe wa laki sita anamchunga pale home. Mleta mada ungekuwa wewe ungefanyaje,maana amechukua maamuzi bila kukushirikisha.
Ningempongeza kwa kununua ng'ombe maana ni jambo lenye faida ila nitampa lecture kwamba nivizuri awe ananishirikisha kwenye mipango yake ili tuwe na mipango ya pamojaBaada ya kumuoa ana wiki mbili ndani, nilimwachia laki nane ya matumizi mimi nikaondoka kwenda london kikazi siku tatu, kurudi nikamkuta kanunua ng'ombe wa laki sita anamchunga pale home. Mleta mada ungekuwa wewe ungefanyaje,maana amechukua maamuzi bila kukushirikisha.
Wakati Mahusiano yanaanza huwa wako hivi, ndio maana hata kama hujapanga kuoa inajikuta unaingia kichwa kichwa😅😅Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
Hakukushiriikisha kwa sababu ulikuwa London na maamuzi yake yalikuwa legitBaada ya kumuoa ana wiki mbili ndani, nilimwachia laki nane ya matumizi mimi nikaondoka kwenda london kikazi siku tatu, kurudi nikamkuta kanunua ng'ombe wa laki sita anamchunga pale home. Mleta mada ungekuwa wewe ungefanyaje,maana amechukua maamuzi bila kukushirikisha.
Leo blue Monday no unywajiLete bia kijana, heat wave isije ikaniua!
We kuweza 🤣🤣🤣Unamkosea ba mjengo
Wenzio huku hata kununua sabuni anatoa maelekezo kutoka juu 😃
Kumbe wanaigiza mbwe mbwe za kututeka wanaumeWakati Mahusiano yanaanza huwa wako hivi, ndio maana hata kama hujapanga kuoa inajikuta unaingia kichwa kichwa😅😅
Vibaya mno, Wanaume wengi wameingia mkengeKumbe wanaigiza mbwe mbwe za kututeka wanaume
Ndio si nimependa la mama🤣We kuweza 🤣🤣🤣
View attachment 3613466