DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sasa mzee vijana hwana familia 😀ni wazee wa kuvuta demu na kumalizana nae ,Wana mnyonyoro mrefu kama wanawake ndo wengi hapo kweli nafsi itatulia?
Siku ukianza dialysis utaelewahakuna faida ya kufa ukiwa mzima wa afya
Nawakumbusha vijana.Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso.
Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu.
Hizi hadithi za zamani nilikuwa na PESA acha zibaki kwao usiziruhusu zitokee kwako.
Ukipanda Juu hakikisha unakuwa makini zaidi ya ulivyokuwa chini . Maana siku zote kushuka chini ni rahisi kuliko kupanda Juu. Pia usisahau kujisamehe na kuanza upya .
Siku likipasuka ndo utaelewa kwanini tarehe ya mwisho wa matumizi iliwekwaHata tyre hubadilishwa likiwa kipara [emoji3] hakuna sababu ya kutupa tyre zima kisa expire deti.
Wanaongea nyuma ya keyboard tu hao wahuni,maishs hslisi hawathubutu kuweka afya zao rehani.Siku ukianza dialysis utaelewa
Wanatakiwa wapite pale JKCI, MOI, Ocean RoadWanaongea nyuma ya keyboard tu hao wahuni,maishs hslisi hawathubutu kuweka afya zao rehani.