Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kwa wengi wetu mahusiano ya kwanza kuyaona na kuyaishi ni yale ya wazazi wetu. Je, ukipewa mwenza ambaye anafanana kitabia, kiakili, kiuchumi n.k na mzazi wako utafurahi?
Asante na siku njema!
- Kama jibu ni ndiyo, kwanini?
- Kama jibu ni hapana, ungependa awe tofauti kwa namna gani?
Asante na siku njema!