ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Kwa namna mama alimvumilia baba kwa matukio nonstop, basi huyu mwanamke angekuwa na huo uvumilivu ningeishi kwa raha sana. Sijampiga na kitu kizito kichwani ila naona kabisa hawezi kuvumilia huyu.
Ila kwa malezi ya watoto, juhudi ya kazi na kusaidiana kama vitabu vinavyosema, I got one like mama!! And she's very smart, hili huwa nasema siku zote, my wife is smart..yaani hata nikianza argument na yeye, kuna time niweke uanaume tu ili mambo yaende kiume😅 ila upstairs huyu mama yupo vizuri.