Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Aah yule alikuwa mwanamke na nusu, na hatukuwahi kumsikia akilalamika. Baada ya msiba ndio tunajua🙌🙌Vipi uvumilivu wa mama na wewe umeuchukua au hauko tayari kubeba mizigo isiyobebeka 😂
Aah yule alikuwa mwanamke na nusu, na hatukuwahi kumsikia akilalamika. Baada ya msiba ndio tunajua🙌🙌Vipi uvumilivu wa mama na wewe umeuchukua au hauko tayari kubeba mizigo isiyobebeka 😂
Facts 💯 asante kwa kutukumbusha!Nawakumbusha tu, Anaweza kua good mother and stupid wife and Vice Versa.
Na baba anaweza kua Good father and stupid Husband and Vice versa.
Nafikiri Mshana Jr kwenye reply yake huko juu ameelezea vizuri, inaweza kuwa si vitu vyote ila kuna baadhi ya misingi ya maisha na mahusiano umechukua kwa wazazi na utatamani kuiona kwa mwenzi wako.Hivo swali lako haliwezi kua na Majibu fasaha, maana hatujajua upande wao wa2
Tuongeleshe taratibu basi, wengine tuna presha za kushuka 😔Sifoki ila nahisi kutibuliwa
Bila kusahau wale walioachwa na wanawake waliowazalisha kwa sababu hawakutaka kuvumilia upuuzi!hua nasema kila siku, wengi wanaowaponda wanawake hasa single maza ni wamelelewa na single maza au bibi na babu,
Same observation, makasiriko mengi humu ninayoyaona hasa kwa wanaume ni matokeo ya trauma tu. Huwa nawaonea huruma maana ni jeraha linalowatafuna na often wana-bleed on people who didn't cut themna hapo hujashangaa kuna uzi humu sikumbuki title wa zamani kidogo watu walikua wanafunguka malezi yao, humo watu wameshea stories zao jinsi walivyotelekezwa na baba zao, vipigo vya kutisha wakiwa wadogo sana kiufupi ni uzi unaosikitisha ndio maana hua nawaelewa upesi sana wanaume wenye makasiriko humu, trauma ya utotoni ni mbaya sana.
I think wengi hawajamuelewa concept yake🤣Aisee noma sana
Ya kishua.
Dada mimi hapana kwanza naogopa.
Umeandika kwa hisia 😂, kila la kheri upate yule ambaye ni hitaji la moyo wako!Mzee alikuwa ni mtu wa wake wengi sana na ana watoto wengi nje. Sitaki jamani 🙆🤣
Nilikua najiuliza kwanini umecheka kwenye hiyo picha, nimeelewa sasa 😂Ya kishua.
Sisi millenials ni kama huo uvumilivu hatukujaliwa, hivi ni kwanini?Aah yule alikuwa mwanamke na nusu, na hatukuwahi kumsikia akilalamika.
Misiba huwa inafukua mambo mengi sana ya sirini 😥Baada ya msiba ndio tunajua🙌🙌
Hebu nisaidie, ni kwamba nilichoandika hakieleweki au watu wanasoma kwa jicho la kufikiri mada za kimapenzi so wanasuexualize huu uzi?I think wengi hawajamuelewa concept yake🤣
Watu wa kataa ndoa wakiona hiki basi mioyo inadunda kwa presha 😅😅
May be edit kwa wenye vichwa vigumuHebu nisaidie, ni kwamba nilichoandika hakieleweki au watu wanasoma kwa jicho la kufikiri mada za kimapenzi so wanaisexualize hii nyuzi?
Hamna bwana...View attachment 3604330
Unataka kusema baba yako alikua anadundwa kila kukicha 😂
Tay, umesema kwa hekima sana na huu ndiyo ukweli!Hakuna asiyejua tabia za mzazi wake ...
Tunajua ila sbb ni wazazi hakuna namna ni kuwa wapole tu...
🤣
Hapana mkuu, uzuri hawapo humu nyie fungukeni tu 😅Mkuu unataka kutugombanisha na wazazi?