Ukipewa mke kama mama yako mzazi, utafurahi? Au ukipewa mume kama baba yako mzazi, utashukuru?

Ukipewa mke kama mama yako mzazi, utafurahi? Au ukipewa mume kama baba yako mzazi, utashukuru?

Aje nimdunde
Kama sitoishia police basi jela kabisa
Excuse Me What GIF.gif


Eddie Murphy Reaction GIF.gif
 
Mama yangu ni chaguo la baba yangu ndiyo mpaka nakua sikuwai kushuhudia akimdharau wala kumletea undezi baba amekua akimsapot kila namna ametulea wanae kwa kutokutubagua wala matabaka baina yetu yah namkubali sana mama naye tabia alirithi kutoka kwa mama yake ambaye ni bibi kwangu mpaka uzee wote wapo kwenye ndoa yao na niliona mzee aliwin sana katika ili
Hongera kwa mzee na kwenu kwa kupata mama bora 🙌 💯
Naona swali langu kutoka kwenye reply #32 umelikimbia kiaina 😂
 
Daah wewe pia kama wengine wamesema hivi, ngoja nieendelee kuobserve.
hua nasema kila siku, wengi wanaowaponda wanawake hasa single maza ni wamelelewa na single maza au bibi na babu, na hapo hujashangaa kuna uzi humu sikumbuki title wa zamani kidogo watu walikua wanafunguka malezi yao, humo watu wameshea stories zao jinsi walivyotelekezwa na baba zao, vipigo vya kutisha wakiwa wadogo sana kiufupi ni uzi unaosikitisha ndio maana hua nawaelewa upesi sana wanaume wenye makasiriko humu, trauma ya utotoni ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom