Ukipewa mke kama mama yako mzazi, utafurahi? Au ukipewa mume kama baba yako mzazi, utashukuru?

Naomba ni share jambo na Mimi.

Mimi nilikuwa na picha ya mwanaume ninaemtaka niseme nimepata robo tatu yake
Na bahati tu ana sifa za baba yangu kiasi kwamba siku ya kwanza kumtambulisha alipigwa interview kubwaa maana anafanana sana na baba yangu mzazi.
Mi nilipenda nipate muelewa, alieshika dini, asiwe na mambo mengi na kubwa zaidi awe mweupe na mrefu.
Maajabu ya Mungu sasa akawa mweupe pe kama baba yangu na mrefu.
Nilipenda awe na mambo kama ya baba yangu ikiwemo asimamie uanaume wake na awe na garage nyumbani. Mungu akanipeleka mule mule.
Leo hii baadhi ya wadogo zangu hawamuiti shemeji ni kaka!!! Na kama hutujui unaweza mtu na dada yake.
SEMA Nini huyu kenge mmkoloni sana
 
Of course yes! coz kuna muda anasimama kama mwalimu kwa sisi wanae, mentor, supportive mama, anaibeba familia kwenye maombi.

Nathubutu kusema nikipata anaefanana na mama basi sitafuata ushauri wa mtume paulo
 
Naomba ni share jambo na Mimi.

Mimi nilikuwa na picha ya mwanaume ninaemtaka niseme nimepata robo tatu yake
Na bahati tu ana sifa za baba yangu kiasi kwamba siku ya kwanza kumtambulisha alipigwa interview kubwaa maana anafanana sana na baba yangu mzazi.
Mi nilipenda nipate muelewa, alieshika dini, asiwe na mambo mengi na kubwa zaidi awe mweupe na mrefu.
Maajabu ya Mungu sasa akawa mweupe pe kama baba yangu na mrefu.
Nilipenda awe na mambo kama ya baba yangu ikiwemo asimamie uanaume wake na awe na garage nyumbani. Mungu akanipeleka mule mule.
Leo hii baadhi ya wadogo zangu hawamuiti shemeji ni kaka!!! Na kama hutujui unaweza mtu na dada yake.
SEMA Nini huyu kenge mmkoloni sana
Lakini ulitaka mkoloni kama baba 🤣
 
Acha ujinga wako sasa? Maswali gani haya…mamangu alikua chaguo la babangu.
Mimi na babangu tumezaliwa era tofauti, Yes nime-copy vitu vingi kutoka kwake..lakini nope chaguo lake ni chaguo lake.
Nampenda mamangu lakini siwezi kum-date kwanza unapata wapi mawazo kama hayo
Umesoma na kuelewa alichoandika author wa huu uzi?
 
Back
Top Bottom