Nitabadilisha PESAIkitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.
Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni msingi wa maendeleo ya kitaifa na binafsi. Kipaumbele changu cha kwanza kingekuwa kuangalia upya mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa unaendana na mahitaji ya sasa ya jamii na soko la ajira.
Ningependa kuwekeza zaidi katika teknolojia na rasilimali za kufundishia ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na inayokidhi viwango vya kimataifa. Kwa kufanya hivyo, ningewawezesha wanafunzi kufikia uwezo wao kamili na kujenga msingi imara kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Unatamani uwe kiongozi wa nini na wapi na ni kitu gani ungekipa kipaumbele cha kukifanya cha kwanza na kwa sababu gani?
Kuvunja mahusiano na Dubai, kufuata mikataba ya OBC, kufuta mkataba wa DP world, kufuta kazi Mwigulu Chemba, na Makamba na Tulia.Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.
Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni msingi wa maendeleo ya kitaifa na binafsi. Kipaumbele changu cha kwanza kingekuwa kuangalia upya mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa unaendana na mahitaji ya sasa ya jamii na soko la ajira.
Ningependa kuwekeza zaidi katika teknolojia na rasilimali za kufundishia ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na inayokidhi viwango vya kimataifa. Kwa kufanya hivyo, ningewawezesha wanafunzi kufikia uwezo wao kamili na kujenga msingi imara kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Unatamani uwe kiongozi wa nini na wapi na ni kitu gani ungekipa kipaumbele cha kukifanya cha kwanza na kwa sababu gani?
SafiNita react vigorously kwenye swala la usafi wa mazingira. Aisee nitakuwa mbogo hadi mtasema huyu mzee anavuta bangi. Majiji yetu ni machafu mno na kuna vitengo vya usafi na watu wanalipwa mishahara
1. Sikupi leseni ya biashara hadi nikupe kipande cha barabara mbele ya ofisi yako au duka lako upande maua, miti, usafishe mitaro papebdeze mno!
2. Makampuni makubwa sijui voda sijui tigo au crdb nawapa barabara nzima kwa mfano Nyerere Road au Mandela Road inakuwa ya kwako na ole wako nikute haipendezi. Ukitaka msaada wa serekali unapewa ila jukumu la usimamizi ni lako. Panda nyasi tena Canadian sio za hovyo hovyo na maua mazuri ya grade A.
3. Kuanzia chekechea ni lazima kuweka somo la house keeping. Watoto wakue huku wanaelewa kuchezea mazingira ni kujitafutia kwenda jela! Na haki mtu akizembea namfunga kweli.
4. Usafi ni pamoja na ku deal na boda boda. Hizi mburula zimegeuka ni jeshi la kipekee wanalojiamulia cha kufanya. Haki ingefika mahali wangebadilika maana cha moto wangekiona. Nisingewatoa barabarani ila ningetengeneza mkakati wangenyooka tu. Kwamba boda yeye taa nyekundu za barabarani hazimuhusu na anapita taa nyekundu traffic officer yuko hapo hapo anaongoza magari! Wangejua hawajui
Umenigusa kunako mkuuNita react vigorously kwenye swala la usafi wa mazingira. Aisee nitakuwa mbogo hadi mtasema huyu mzee anavuta bangi. Majiji yetu ni machafu mno na kuna vitengo vya usafi na watu wanalipwa mishahara
1. Sikupi leseni ya biashara hadi nikupe kipande cha barabara mbele ya ofisi yako au duka lako upande maua, miti, usafishe mitaro papebdeze mno!
2. Makampuni makubwa sijui voda sijui tigo au crdb nawapa barabara nzima kwa mfano Nyerere Road au Mandela Road inakuwa ya kwako na ole wako nikute haipendezi. Ukitaka msaada wa serekali unapewa ila jukumu la usimamizi ni lako. Panda nyasi tena Canadian sio za hovyo hovyo na maua mazuri ya grade A.
3. Kuanzia chekechea ni lazima kuweka somo la house keeping. Watoto wakue huku wanaelewa kuchezea mazingira ni kujitafutia kwenda jela! Na haki mtu akizembea namfunga kweli.
4. Usafi ni pamoja na ku deal na boda boda. Hizi mburula zimegeuka ni jeshi la kipekee wanalojiamulia cha kufanya. Haki ingefika mahali wangebadilika maana cha moto wangekiona. Nisingewatoa barabarani ila ningetengeneza mkakati wangenyooka tu. Kwamba boda yeye taa nyekundu za barabarani hazimuhusu na anapita taa nyekundu traffic officer yuko hapo hapo anaongoza magari! Wangejua hawajui
Kuifuta Chadema na kufunga jela wahuni wote kwenye hilo gengeIkitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.
Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni msingi wa maendeleo ya kitaifa na binafsi. Kipaumbele changu cha kwanza kingekuwa kuangalia upya mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa unaendana na mahitaji ya sasa ya jamii na soko la ajira.
Ningependa kuwekeza zaidi katika teknolojia na rasilimali za kufundishia ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na inayokidhi viwango vya kimataifa. Kwa kufanya hivyo, ningewawezesha wanafunzi kufikia uwezo wao kamili na kujenga msingi imara kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Unatamani uwe kiongozi wa nini na wapi na ni kitu gani ungekipa kipaumbele cha kukifanya cha kwanza na kwa sababu gani?
Kukamata na kunyonga viongozi wote waliopita na hawa walio madarakani hivi sasa kuliibia taifaIkitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.
Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni msingi wa maendeleo ya kitaifa na binafsi. Kipaumbele changu cha kwanza kingekuwa kuangalia upya mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa unaendana na mahitaji ya sasa ya jamii na soko la ajira.
Ningependa kuwekeza zaidi katika teknolojia na rasilimali za kufundishia ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na inayokidhi viwango vya kimataifa. Kwa kufanya hivyo, ningewawezesha wanafunzi kufikia uwezo wao kamili na kujenga msingi imara kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Unatamani uwe kiongozi wa nini na wapi na ni kitu gani ungekipa kipaumbele cha kukifanya cha kwanza na kwa sababu gani?
Kunyonga viongozi wote wezi waliopo madarakani hivi sasa na wale waliostaafu. Nitawataifisha mali zote walizoiba kisha kuwanyonga. Lazima tuwashikishe adabu hawa viongozi ili iwe fundisho kwa watu wengine.Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.