Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako.

Na kwa nini ili jambo limeanza leo
 
Ngoma bado mbichi wengine usiku wengine kesho ,mtanange ndiyo umeanza ,je wataendeleza curfew yao hiyo kesho?
 
Back
Top Bottom