Haya mambo haya!!!, mwaka fulani nimewahi kutumia laki na nusu ya ada nikiwa chuoni kwa bata, usiku wake tupo hotelini na demu pombe zimeisha nikakumbuka UE ni jumatatu na hiyo ni jumamosi alafu bila kulipa hiyo 150 sifanyi UE
Askari alilala ghafla na hakuamka hata ile asubuhi aligoma
Una uhakika ulikua unampelekea moto kweli mkuu? Haiwezekani mtu kukumbuka kuomba vitu wakati huo bana, muda huo unakua unasikilizia mikito tu "twaa twaa" kama mchi kwenye kinu. Ebu peleka moto acha kuremba muandiko.