akilinzuri
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 387
- 424
Hongera kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo haya!!!, mwaka fulani nimewahi kutumia laki na nusu ya ada nikiwa chuoni kwa bata, usiku wake tupo hotelini na demu pombe zimeisha nikakumbuka UE ni jumatatu na hiyo ni jumamosi alafu bila kulipa hiyo 150 sifanyi UEsimple wengine muda huo tunafikiria madeni na hasara tunayopata kwa tendo tunalofanya hivyo simple tu unastop na unaondoka!
Ebu peleka moto acha kuremba muandiko
Sipendi watu wazembe kwenye mambo muhimu😂😂Labda ukisema wewe atakusikiliza