Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

Kama siku haijafika unaweza sema chochote.

Mwaka 2023 au 2024 mwanzoni kuna mwamba na chuma kipya Subaru Forester namba E za mwanzo kabisa alinusurika kupigwa na semi la nguzo za umeme maeneo ya Puni/Buyubi lililo kati ya Tinde na Isaka. Alikuwa anaelekea uelekeo wa Kahama na huenda alikuwa na familia au mshikaji wake ndani. Angepata nafasi hapa akaelezea alivyochomoka na jinsi nivyoshuhudia mwenyewe nikiwa kwa pembeni, binafsi ningesema mwamba alikuwa na bahati sana.

Ubavu wa kulia wa gari ulilamba chini kwenye mtaro wa lami kimo cha takribani mita 5, chuma kikainuka kikapanda juu ya lami na kutumbukia mtaro wa pili kushoto, gari ikarudishwa juu tena ikashika lami akanyoosha goti huyo kuelekea uelekeo wa Kahama.
 
Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
View attachment 3689064
Hata kuzaliwa kwako ni bahati tu, baba yako alimwaga mbegu milioni 3, Moja ndio ikabahatika kurutubisha yai

Mama yako angemwambia mzee wako hajisikii siku hiyo kamwe usingezaliwa, na hiyo pia Ina apply kwa watoto wako, ungechelewesha kumwaga tu kwa sekunde chache sperm iliyobahatika isingepata hiyo nafasi, vivyo hivyo kwa babu zako nao baba yako nae alizaliwa kibahati tu
 
Katika maisha utembeapo waweza jikwaa ukaanguka lakini usiumiee

Ajali zinasababishwa na mambo mengii ---so ni muujiza .... ila inakupa namna ya kutafakari maisha yako na kuimarisha imani yako
 
Yoda, bahati unamaanisha kitu gani? Na inatokeaje inakua bahati? Ikitokea hiyo unaita bahati mtu anatakiwa anyamaze tu asishukuru kwamba amepata bahati?
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…