weka maelezo hapa.Karibu mkuu unaweza wasiliana nasi kwa 0658950085
Nitakupa maelekezo yaliyojitoshereza π
Shida huanzia hapa yani...wabongo banaKaribu mkuu unaweza wasiliana nasi kwa 0658950085
Nitakupa maelekezo yaliyojitoshereza π
Kumbe tupo wengi eeeh ,wacha na mimi sasa nijiamini tena vipi bwana meno ya mbele yaliyong'olewa kwa ngumi ni shilingi ngapi ndugu ?garama ya kuweka meno 8 ni shngap niandae ikiwemo ya kumuona daktari yale ya bei ndogo ikifatiwq na ya bei ya kat
Mwamba huna meno 8? Kwa hiyo umebakiza 24?garama ya kuweka meno 8 ni shngap niandae ikiwemo ya kumuona daktari yale ya bei ndogo ikifatiwq na ya bei ya kat
Ndiyo wewe Maliganya niliyekupiga ngumi ya mdomo siku umenikuta na mkeo? Pole mwamba sikutegemea kufanya hivyo nilikuwa najihami tu!ππππKumbe tupo wengi eeeh ,wacha na mimi sasa nijiamini tena vipi bwana meno ya mbele yaliyong'olewa kwa ngumi ni shilingi ngapi ndugu ?
Mwamba huna meno 8? Kwa hiyo umebakiza 24?s
Mkuu weka maelezo hapa na wengine wajue shida iko wapilKaribu mkuu unaweza wasiliana nasi kwa 0658950085
Nitakupa maelekezo yaliyojitoshereza π
Mpigie mbagein mshushane kidogoShida huanzia hapa yani...wabongo bana
Mganga wa Meno amekuwa usalama wa taifa πShida huanzia hapa yani...wabongo bana
Inasikititisha. Mtu kaleta tangazo vizuri ili wadau tujue anaulizwa gharama hataki kusema kama sio utapeli ni niniHii ndio changamoto ya bznes Tanganyika Bei hayuko tayri kutaja. Ili kila mtu apigwe kutokana na ulivyo ingia kichwa kichwa.
KAZI ni kipimo cha utu
Karibu mkuu unaweza wasiliana nasi kwa 0658950085
Nitakupa maelekezo yaliyojitoshereza π
Mianya ya utapeli hiiMganga wa Meno amekuwa usalama wa taifa π
Yani utadhani bei haijarasmishwa kila sehemu kuna cha udalaliMpigie mbagein mshushane kidogo
Sisi bado. Biashara karibia zote ni hivyo hivyo. Upigaji. Halafu wakija Wachina wanaanza kupiga makelele π‘π‘π‘Inasikititisha. Mtu kaleta tangazo vizuri ili wadau tujue anaulizwa gharama hataki kusema kama sio utapeli ni nini