😅😅Asante sana, kwakweli Mungu kanitetea maana shetani alikusudia mabaya.Pole sana mtumishi. Sasa unajisikiaje? Mungu wetu unayemtumikia kwa uaminifu usiku na mchana hatakuacha. Na cheupe wetu bila shaka atakuwa anahaha balaa 😂
Mimi mwenyewe nimefurahi sana maana nina veneers zina miaka zaidi ya 20 na zinahitaji kurekebishwa. Na moja imevunjika. Kwa vile amenijibu, nitakwenda kuona huduma zao.
Upone haraka mtumishi (Karibu PM ukipenda) 🙏🏿
Nimesikitika
Hakuepo hewani karudi lkn bado hana jibu la moja kwa moja hadi simu.Pole sana
Yani hii topic kuna namna kama haijajitosheleza
Watu tunataka kujua tukiachana na kufanyiwa tathimi ya huduma je ; garama huanzia Tsh ngapi kwa kuweka jino moja bandia kwa mtu mwenye pengo (meno ya mbele) hivyo tu yani ili kutoa wasaa wa watu kujipanga wakija huko atleast wamejua kianzio ila sasa naona hili swali ni gumu sana kiasi mtu tu afike huko akaulize vizuri na mbebe laki2 ya ziada
Na marketing ni tatizo kubwa kwa WatanzaniaHapana. Bei ya veneers niliyouliza mimi inajulikana - angalau kwa range. Na anashindwa nini kusema, kwa mfano, kwamba kuweka jino bandia au veneer moja inaweza kuwa 10K mpaka 100K kutegemea na mambo mengine ya kitaalamu? Mbona kwa wenzetu bei zinakuwa tu hapo mtandaoni?
Na tatizo hili sisi ni katika kila kitu. Hata kama ni viatu utaambiwa bei njoo inbox au Whatsapp. Tunahitaji kubadilika na mtu akiweka tangazo liwe limekamilika.
Siyo kweli. Bei zinaeleweka. Kusafisha meno. Kuweka veneers. Lumineers. Kuziba cavity. Root canal. Braces. Ranges zake zote zinaeleweka. Weka bei za msingi za kila huduma; na of course kila mtu anajua kuna contingencies nyingi tu na bei zinaweza kubadilika kulingana na tatizo la mtu; maana matatizo ya watu hayatafanana. Nadhani hii ni common sense tu na kila mtu anajua.Mleta Uzi anaweza kuwa Winga lakini sioni tatizo liko wapi kwetu Wabongo.
Huduma ya meno ni huduma kama zingine, ukiwa nashida nenda wewe mwenye shida kaangaliwe kisha wakupe utaratibu wa matibabu yako.
Matatizo yako siyo yangu, na Dentist anapo fanya consultation anaangalia kinywa na kufanya vipimo vya x-ray ili kuweza ku determine kama unashida moja au ni nyingi na je unayodhani ni shida ni shida kwelli au inahitaji huduma tofauti.
Huwezi kwenda leo hapo hapo wakakwambia unafanya transplant au veneer, au unahitaji braces. Kuna meno yana hitaji through analysis siyo kama mnavyotaka hapa.
Muambiwe bei utadhani ni sukari kwamba kilo mjo tsh 5000, basi tunakuja. Matibabu ni personal, kila mtu anashida yake. Kuna wale meno yansagika, kuna wale meno yanavunjika, kuna wale meno yanang'oka, kuna waliopata ajali, kuna wakuziba, kuna wa impacted teeth wanahitaji surgery na braces. msirahisishe saan taaluma za watu.
Mkue na mjielewe jamani siyo kila kitu ni utani, nendeni personal mkatibiwe.
Muulizaji kauliza Meno kadhaa kuweka sh ngapi? Yeye sasa angeeleza kwamba bei ya kuweka jino moja ni kiasi kadhaa ila kama utatakiwa kufanyiwa Huduma zingine kabla ya kuwekewa basi bei hubadilika hapo sasa ndo angetoa contact ili mhusika amfuate inbox kwa maelezo zaidi. Lakini hii moja kwa moja ukiulizwa gharama unataka ufuatwe inbox ni dalili za utapeli wa wazi kabisa
Samahani kwa kuchelewa kuona comment yako , huduma ya meno bandia yapo ya kuanzia Tsh 40,000/= mpaka Tsh 400,000/= kwa jino moja bei zinatofautiana Kulingana na Aina ya meno karibu sanaHakuepo hewani karudi lkn bado hana jibu la moja kwa moja hadi simu.
Safi hapa sasa tutapiga simu kufanya bookingSamahani kwa kuchelewa kuona comment yako , huduma ya meno bandia yapo ya kuanzia Tsh 40,000/= mpaka Tsh 400,000/= kwa jino moja bei zinatofautiana Kulingana na Aina ya meno karibu sana
Ulishindwa nini kuandika hivyo tangia mwanzo unaishia kutoa majibu ya kuzurura tu?.Samahani kwa kuchelewa kuona comment yako , huduma ya meno bandia yapo ya kuanzia Tsh 40,000/= mpaka Tsh 400,000/= kwa jino moja bei zinatofautiana Kulingana na Aina ya meno karibu sana
Sisi bado. Biashara karibia zote ni hivyo hivyo. Upigaji. Halafu wakija Wachina wanaanza kupiga makelele
Ahsante kwa ushauri mzuri , Nitaufanyia Kazi Boss 🙏Ulishindwa nini kuandika hivyo tangia mwanzo unaishia kutoa majibu ya kuzurura tu?.
Kumbuka mnachofanya siyo msaada bali ni biashara kama ilivyo biashara nyingine...
Hivyo kwenye soko huria la kibepari unapaswa kuainisha bayana taarifa anuai ili kutanabaisha kile ukitangazacho.
Ukifanya hivyo inaondoa hofu na kuleta imani kwa baadhi ya walaji wa bidhaa yako.
Bei unazozifahamu wewe siyo lazima ziwe bei zao.Siyo kweli. Bei zinaeleweka. Kusafisha meno. Kuweka veneers. Lumineers. Kuziba cavity. Root canal. Braces. Ranges zake zote zinaeleweka. Weka bei za msingi za kila huduma; na of course kila mtu anajua kuna contingencies nyingi tu na bei zinaweza kubadilika kulingana na tatizo la mtu; maana matatizo ya watu hayatafanana. Nadhani hii ni common sense tu na kila mtu anajua.
Hata Profesa Janabi anakwambia kuwa kuweka stents kwenye moyo ni milioni 7 lakini tunajua kuwa inaweza kuwa zaidi kulingana na mahitaji ya mgonjwa na mgonjwa.
Na tunacholalamikia hapa ni general trends ya advertisement za Wabongo. Ni wagumu sana kuweka wazi bei ya bidhaa wanazouza na matangazo yao mengi ya biashara huwa hayajitoshelezi mpaka uanze kupiga simu huko ambazo mara nyingi pia unaweza usijibiwe.
Nimepokea Ushauri wako Nitaanda Poster Yenye Kila Kitu Na Gharama Zake Nitaweka 🙏Siyo kweli. Bei zinaeleweka. Kusafisha meno. Kuweka veneers. Lumineers. Kuziba cavity. Root canal. Braces. Ranges zake zote zinaeleweka. Weka bei za msingi za kila huduma; na of course kila mtu anajua kuna contingencies nyingi tu na bei zinaweza kubadilika kulingana na tatizo la mtu; maana matatizo ya watu hayatafanana. Nadhani hii ni common sense tu na kila mtu anajua.
Hata Profesa Janabi anakwambia kuwa kuweka stents kwenye moyo ni milioni 7 lakini tunajua kuwa inaweza kuwa zaidi kulingana na mahitaji ya mgonjwa na mgonjwa.
Na tunacholalamikia hapa ni general trends ya advertisement za Wabongo. Ni wagumu sana kuweka wazi bei ya bidhaa wanazouza na matangazo yao mengi ya biashara huwa hayajitoshelezi mpaka uanze kupiga simu huko ambazo mara nyingi pia unaweza usijibiwe.
Ahsante Sana Ubarikiwe Na Mungu , Umenisaidia Kujibu Kwa Usahihi Mkubwa Sana 🙏Bei unazozifahamu wewe siyo lazima ziwe bei zao.
Kila mtoa huduma anaweza ku charge aonavyo yeye ni sawa kwake, mlaji anao utashi kupokea au kukataa.
Bei hupangiwi na serikali na hakuna bei elekezi kwa huduma hizo, kila mtoa huduma hutumia technoligia tofauti na wana nunua vitendea kazi kutoka sehemu tofauti ndio maana unakuta kila mtoa huduma anakuwa na bei yake.
Kama wewe unajua bei zako basi nenda huko ulikokuzoea huna haja kumlazimisha naye a charge kama huyo uliyemzoea.
Nashukuru, JF nyumbu ni wengi lakini hatutaki kukubali.Jf imevamiwa na nyumbu wengi Sana umeandika fact
Safi sana mambo si haya bhana.Samahani kwa kuchelewa kuona comment yako , huduma ya meno bandia yapo ya kuanzia Tsh 40,000/= mpaka Tsh 400,000/= kwa jino moja bei zinatofautiana Kulingana na Aina ya meno karibu sana
Hapa sasa unaongea mkuu, kutokea hapa sasa mtu baada ya kuona price zako hapa anaweza kuja inbox ili muyajenge, ndo biashaara hiyoSamahani kwa kuchelewa kuona comment yako , huduma ya meno bandia yapo ya kuanzia Tsh 40,000/= mpaka Tsh 400,000/= kwa jino moja bei zinatofautiana Kulingana na Aina ya meno karibu sana
Nimemlazimisha wapi acharge? Nani niliyemzoea? Ni wewe ndiye uliyeweka tangazo hili na hii ni ID yako nyingine maana si kwa kupaniki huku! 😂Kama wewe unajua bei zako basi nenda huko ulikokuzoea huna haja kumlazimisha naye a charge kama huyo uliyemzoea.
Nahisi ni kama vile unajitekenya na kujicheka wewe mwenyewe. Niko sahihi? Hii pia ni ID yako? 😳Ahsante Sana Ubarikiwe Na Mungu , Umenisaidia Kujibu Kwa Usahihi Mkubwa Sana 🙏
sawaNimemlazimisha wapi acharge? Nani niliyemzoea? Ni wewe ndiye uliyeweka tangazo hili na hii ni ID yako nyingine maana si kwa kupaniki huku! 😂
Hoja yangu ya msingi ni hii: Ukiweka tangazo la biashara jitahidi sana uweke habari zote zinazohitajika zikiwemo BEI ELEKEZI kwa huduma zako unazotoa. . Full stop! Is this too much to ask? Ni kitu gani ambacho huelewi hapo ili nikufafanulie tena? Jizazi! 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
View attachment 3342519