Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

Inasikititisha. Mtu kaleta tangazo vizuri ili wadau tujue anaulizwa gharama hataki kusema kama sio utapeli ni nini
Namsaidia kujibu ingawa simjui kutokana na uzoefu nilionao kwenye marketing.
Kwenye issue ya service provision, si kila kitu/mtu bei moja (one doesn't fit all).
Hapa kila mtu atakuwa na bei yake kutegemea na idadi, size, quality, Maandalizi n.k

Kuna mtu atatakiwa kufanyiwa maandalizi makubwa, mfano kung'oa magego kabla ya kupachika meno bandia.
Sisi bado. Biashara karibia zote ni hivyo hivyo. Upigaji. Halafu wakija Wachina wanaanza kupiga makelele 😡😡😡
 
Muulizaji kauliza Meno kadhaa kuweka sh ngapi? Yeye sasa angeeleza kwamba bei ya kuweka jino moja ni kiasi kadhaa ila kama utatakiwa kufanyiwa Huduma zingine kabla ya kuwekewa basi bei hubadilika hapo sasa ndo angetoa contact ili mhusika amfuate inbox kwa maelezo zaidi. Lakini hii moja kwa moja ukiulizwa gharama unataka ufuatwe inbox ni dalili za utapeli wa wazi kabisa
 
Sio utapeli huu bali wabongo wengi wakiwemo wataalamu na taaluma zao huwa wanashindwa kabisa kufanya biashara za uwazi

Hivi ukisema tunatengeneza kuanzia laki tatu mpaka milioni tatu shida iko wapi

Mbona mimi najua jino mahali nilipo ni kiasi gani na kuna dentist zaidi ya elfu?
 
HII NI ISHARA YA UTAPELI NA KUTOJIAMINI. WEKA BEI HAPA KILA MTU AONE.
Hapana Ndugu Sio Utapeli Kila Mtu Ana Changamoto Yake Unaweza Weka Gharama Hapa Ikawa iko Juu au Chini Kulingana Na tatizo La Mtu…. Hii ni tofauti na Vitu Vingine Hapo Bila Shaka Unaweza Nielewa 🙏
 
Muulizaji kauliza Meno kadhaa kuweka sh ngapi? Yeye sasa angeeleza kwamba bei ya kuweka jino moja ni kiasi kadhaa ila kama utatakiwa kufanyiwa Huduma zingine kabla ya kuwekewa basi bei hubadilika hapo sasa ndo angetoa contact ili mhusika amfuate inbox kwa maelezo zaidi. Lakini hii moja kwa moja ukiulizwa gharama unataka ufuatwe inbox ni dalili za utapeli wa wazi kabisa
Kuna Ndugu Hapo kanisaidia Kujibu kwa Ufasaha nadhani Utakuwa Umemuelewa 🙏
 
Sio utapeli huu bali wabongo wengi wakiwemo wataalamu na taaluma zao huwa wanashindwa kabisa kufanya biashara za uwazi

Hivi ukisema tunatengeneza kuanzia laki tatu mpaka milioni tatu shida iko wapi

Mbona mimi najua jino mahali nilipo ni kiasi gani na kuna dentist zaidi ya elfu?
Yes , Afadhali wewe Unauelewa kuhusu Meno ….Kila Mtu Ana changamoto Yake Hivyo Kulingana Na Changamoto Yake Atapata Elimu, Kuhusu Faida Za Kila Huduma Hivyo atapewa ufafanuzi Wa Kila hatua Kulingana na tatizo na kipi kinafaaa kwake .
 
Ni kweli mkuu huwezi kupiga simu dentist na kuwauliza wanatengeneza kwa sh ngapi?
Lazima wakaangalie kwanza
Ila unaweza pia kusaidia kwa kiasi ingawa ni ngumu hata akiweka picha ya meno
 
Safi sana. Niliweka veneers meno mawili ya mbele ambayo enamel yake ilikuwa katika hatihati ya kuchakaa. Sasa moja veneer imepata ufa.

Naomba unijibu hapa hapa na siyo kuja PM au Whatsapp.

1. Mnaweka veneers pia?

2. Moja bei gani?

Asante
Pole boss , Nilikuwa Sipo hewani
Ndyo Tunafanya Veneers Tsh 30,000/= kwa jino( Composite Materials ) pia tunatengeneza Crowns Venners Tsh 80,000/= kwa jino karibu Nitafurahi Nikikuhudumia Namba zipo Hapo kwenye Tangazo 🙏
 
Ni kweli mkuu huwezi kupiga simu dentist na kuwauliza wanatengeneza kwa sh ngapi?
Lazima wakaangalie kwanza
Ila unaweza pia kusaidia kwa kiasi ingawa ni ngumu hata akiweka picha ya meno
Uko sahihi lakini mtu anaweza tuma picha kuona Hali Halisi ya tatizo ili Ajue kwa Kina tatizo lake ni lipi na Matibabu yapi yatakuwa
 
Sisi bado. Biashara karibia zote ni hivyo hivyo. Upigaji. Halafu wakija Wachina wanaanza kupiga makelele 😡😡😡
Hii ni huduma biashara tofauti na biashara nyingine unaweza weka Gharama mtu akajua ni constant kumbe tatizo lake linahitaji Matibabu mengine zaidi . 🙏
 
Back
Top Bottom