Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

Ndyo tuna huduma zaidi ya 10 za Kinywa na meno ikiwepo
. Kuziba meno Yaliyotoboka ( Teeth Filling )
. Meno bandia ya aina zote ( partial & Full Denture
. Teeth Scalling & Polishing ( Kusafisha Meno )
. Teeth Whitening ( Kusafisha Meno Ya Ki - Arusha )
. Kupanga meno Yalikaa Vibaya ( Orthodontic treatment) BRACES
. Matibabu Ya Mzizi Wa Jino ( Root Canal Treatment)
. Kuondoa Jino Lililo harbors Sana ( Exdontia )
. Teeth Breaching
. Kufunga taya / Kurudisha Taya lililoteguka au kuvunjika
. Kutibu majeraha ya Uso na Kinywa ikiwepo ( IMF )
Hizo ni baadhi ya huduma zetu karibu sana uweze kupata huduma Kwetu 🙏
SS je
SS hii ilitakiwa iwe mwanzo kule mkuu pamoja na bei zake
 
Nina wiki ya 3 napata matibabu,nilipata ajali meno 3 yanepatw shida ,1 limetolewa kabisa.
Ndo nataka kujua gharama ya meno og, nimeona hii topic hapa nikafurahi ila s duh
Pole sana mtumishi. Sasa unajisikiaje? Mungu wetu unayemtumikia kwa uaminifu usiku na mchana hatakuacha. Na cheupe wetu bila shaka atakuwa anahaha balaa 😂

Mimi mwenyewe nimefurahi sana maana nina veneers zina miaka zaidi ya 20 na zinahitaji kurekebishwa. Na moja imevunjika. Kwa vile amenijibu, nitakwenda kuona huduma zao.

Upone haraka mtumishi (Karibu PM ukipenda) 🙏🏿
 
Hapana Ndugu Sio Utapeli Kila Mtu Ana Changamoto Yake Unaweza Weka Gharama Hapa Ikawa iko Juu au Chini Kulingana Na tatizo La Mtu…. Hii ni tofauti na Vitu Vingine Hapo Bila Shaka Unaweza Nielewa [emoji120]
hujui marketing kijana? unaweza kua na price tofauti kwa kila huduma hapo kwako, lakini unatakiwa uweke kianzio na kiishio kutokana na shida alonayo mtu, mfano ''gharama za huduma zetu zinaanzie 100k hadi 3M kutegemea na mahitaji ya mteja, hivo gharama inaweza kua ndogo au kubwa kulingana na hali ya mteja, then ungeweka namba ya mawasiliano zaidi, simple
 
Hapana Ndugu Sio Utapeli Kila Mtu Ana Changamoto Yake Unaweza Weka Gharama Hapa Ikawa iko Juu au Chini Kulingana Na tatizo La Mtu…. Hii ni tofauti na Vitu Vingine Hapo Bila Shaka Unaweza Nielewa 🙏
We ni winga
 
Pole boss , Nilikuwa Sipo hewani
Ndyo Tunafanya Veneers Tsh 30,000/= kwa jino( Composite Materials ) pia tunatengeneza Crowns Venners Tsh 80,000/= kwa jino karibu Nitafurahi Nikikuhudumia Namba zipo Hapo kwenye Tangazo 🙏
Nauliza tena:

1. Ni office ipi ambayo iko more equipped mf. vifaa, manpower (Magomeni au Kibaha?).

2. Crowns veneers mnatengenezea wapi na inachukua muda gani mpaka ziwe tayari?

3. Kuna gharama zingine mf. Kumuona daktari, examination, kusafisha jino husika, X-rays n.k? Mf. Mbali na hiyo 80K, mtu ategemee gharama gani zingine?

4. Normal cleaning ya meno kinywa kizima shilingi ngapi?

5. Kuziba cavity (moja) nayo bei gani?

Asante
 
Ndyo tuna huduma zaidi ya 10 za Kinywa na meno ikiwepo
. Kuziba meno Yaliyotoboka ( Teeth Filling )
. Meno bandia ya aina zote ( partial & Full Denture
. Teeth Scalling & Polishing ( Kusafisha Meno )
. Teeth Whitening ( Kusafisha Meno Ya Ki - Arusha )
. Kupanga meno Yalikaa Vibaya ( Orthodontic treatment) BRACES
. Matibabu Ya Mzizi Wa Jino ( Root Canal Treatment)
. Kuondoa Jino Lililo harbors Sana ( Exdontia )
. Teeth Breaching
. Kufunga taya / Kurudisha Taya lililoteguka au kuvunjika
. Kutibu majeraha ya Uso na Kinywa ikiwepo ( IMF )
Hizo ni baadhi ya huduma zetu karibu sana uweze kupata huduma Kwetu [emoji120]
haya maelezo ungeyaweka mwanzoni mwa post yako, wala maswali ya bei yasingekuepo, ungeweka tu na number then mtu anakuja kukuuliza tu kuhusu anachohitaji unampa gharama basi unakua unemaliza.

Nikukumbushe tena, just be proffesional in marketing issue na uweke tangazo lenye maelezo ya huduma zote zinazopatikana, malizia na contacts kwa msaada zaidi, wrka na price range tu, kua gharama,za huduma zenu zinasnzia 30k - 3M kutegemea na hitaji/tatizo.
 
Nauliza tena:

1. Ni office ipi ambayo iko more equipped mf. vifaa, manpower (Magomeni au Kibaha?).

2. Crowns veneers mnatengenezea wapi na inachukua muda gani mpaka ziwe tayari?

3. Kuna gharama zingine mf. Kumuona daktari, examination, kusafisha jino husika, X-rays n.k? Mf. Mbali na hiyo 80K, mtu ategemee gharama gani zingine?

4. Normal cleaning ya meno kinywa kizima shilingi ngapi?

5. Kuziba cavity (moja) nayo bei gani?

Asante
1. Office zote zipo Na Kila kitu
2 . Office zote unapata huduma ya crown veneers
3. Consultation Tsh 10,000/= iwapo utafanyiwa huduma inayohitaji matumizi ya X- Ray hutachajiwa hela ya X- ray
4. Tsh 100,000/=
5. Tsh 40,000/=
Ni matumaini yangu umeelewa
 
haya maelezo ungeyaweka mwanzoni mwa post yako, wala maswali ya bei yasingekuepo, ungeweka tu na number then mtu anakuja kukuuliza tu kuhusu anachohitaji unampa gharama basi unakua unemaliza.

Nikukumbushe tena, just be proffesional in marketing issue na uweke tangazo lenye maelezo ya huduma zote zinazopatikana, malizia na contacts kwa msaada zaidi, wrka na price range tu, kua gharama,za huduma zenu zinasnzia 30k - 3M kutegemea na hitaji/tatizo.
Ahsante kwa maelekezo na ushauri mzuri Nitafanyia Kazi , Kuhusu Namba nimeweka kwenye Tangazo unaweza pitia na kuiona 🙏
 
Mleta Uzi anaweza kuwa Winga lakini sioni tatizo liko wapi kwetu Wabongo.

Huduma ya meno ni huduma kama zingine, ukiwa nashida nenda wewe mwenye shida kaangaliwe kisha wakupe utaratibu wa matibabu yako.

Matatizo yako siyo yangu, na Dentist anapo fanya consultation anaangalia kinywa na kufanya vipimo vya x-ray ili kuweza ku determine kama unashida moja au ni nyingi na je unayodhani ni shida ni shida kwelli au inahitaji huduma tofauti.

Huwezi kwenda leo hapo hapo wakakwambia unafanya transplant au veneer, au unahitaji braces. Kuna meno yana hitaji through analysis siyo kama mnavyotaka hapa.

Muambiwe bei utadhani ni sukari kwamba kilo mjo tsh 5000, basi tunakuja. Matibabu ni personal, kila mtu anashida yake. Kuna wale meno yansagika, kuna wale meno yanavunjika, kuna wale meno yanang'oka, kuna waliopata ajali, kuna wakuziba, kuna wa impacted teeth wanahitaji surgery na braces. msirahisishe saan taaluma za watu.

Mkue na mjielewe jamani siyo kila kitu ni utani, nendeni personal mkatibiwe.
 
Jf imevamiwa na nyumbu wengi Sana umeandika fact
 
haya maelezo ungeyaweka mwanzoni mwa post yako, wala maswali ya bei yasingekuepo, ungeweka tu na number then mtu anakuja kukuuliza tu kuhusu anachohitaji unampa gharama basi unakua unemaliza.

Nikukumbushe tena, just be proffesional in marketing issue na uweke tangazo lenye maelezo ya huduma zote zinazopatikana, malizia na contacts kwa msaada zaidi, wrka na price range tu, kua gharama,za huduma zenu zinasnzia 30k - 3M kutegemea na hitaji/tatizo.

Muache Kijana afanye vile anaona ni sahihi hizi negativity hutolewa na watu wajinga
 
Namsaidia kujibu ingawa simjui kutokana na uzoefu nilionao kwenye marketing.
Kwenye issue ya service provision, si kila kitu/mtu bei moja (one doesn't fit all).
Hapa kila mtu atakuwa na bei yake kutegemea na idadi, size, quality, Maandalizi n.k

Kuna mtu atatakiwa kufanyiwa maandalizi makubwa, mfano kung'oa magego kabla ya kupachika meno bandia.
Hayo yote yana weza kuandikwa bei zake hapa.
Huyu anaogopa ushindani wa bei kitu ambacho ni kibaya.
Aweke bei ajiamini na huduma zao.
 
Back
Top Bottom