The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Mnahuduma za kusafisha meno pia?
Ndyo tuna huduma zaidi ya 10 za Kinywa na meno ikiwepoMnahuduma za kusafisha meno pia?
Kuna baadhi ya typing Error ukiona Huelewi niulizeNdyo tuna huduma zaidi ya 10 za Kinywa na meno ikiwepo
. Kuziba meno Yaliyotoboka ( Teeth Filling )
. Meno bandia ya aina zote ( partial & Full Denture
. Teeth Scalling & Polishing ( Kusafisha Meno )
. Teeth Whitening ( Kusafisha Meno Ya Ki - Arusha )
. Kupanga meno Yalikaa Vibaya ( Orthodontic treatment) BRACES
. Matibabu Ya Mzizi Wa Jino ( Root Canal Treatment)
. Kuondoa Jino Lililo harbors Sana ( Exdontia )
. Teeth Breaching
. Kufunga taya / Kurudisha Taya lililoteguka au kuvunjika
. Kutibu majeraha ya Uso na Kinywa ikiwepo ( IMF )
Hizo ni baadhi ya huduma zetu karibu sana uweze kupata huduma Kwetu 🙏
Sipendi hii tabiaShida huanzia hapa yani...wabongo bana
Eeh ataki code zijulikaneMganga wa Meno amekuwa usalama wa taifa 😀
Nina wiki ya 3 napata matibabu,nilipata ajali meno 3 yanepatw shida ,1 limetolewa kabisa.Safi sana. Niliweka veneers meno mawili ya mbele ambayo enamel yake ilikuwa katika hatihati ya kuchakaa. Sasa moja veneer imepata ufa.
Naomba unijibu hapa hapa na siyo kuja PM au Whatsapp.
1. Mnaweka veneers pia?
2. Moja bei gani?
Asante
Pole sanaNina wiki ya 3 napata matibabu,nilipata ajali meno 3 yanepatw shida ,1 limetolewa kabisa.
Ndo nataka kujua gharama ya meno og, nimeona hii topic hapa nikafurahi ila s duh
Wewe uliyetoa Tangazo ndo ilitakiwa ujibu hiviYes , Afadhali wewe Unauelewa kuhusu Meno ….Kila Mtu Ana changamoto Yake Hivyo Kulingana Na Changamoto Yake Atapata Elimu, Kuhusu Faida Za Kila Huduma Hivyo atapewa ufafanuzi Wa Kila hatua Kulingana na tatizo na kipi kinafaaa kwake .
AsantePole sana
Yani hii topic kuna namna kama haijajitosheleza
Watu tunataka kujua tukiachana na kufanyiwa tathimi ya huduma je ; garama huanzia Tsh ngapi kwa kuweka jino moja bandia kwa mtu mwenye pengo (meno ya mbele) hivyo tu yani ili kutoa wasaa wa watu kujipanga wakija huko atleast wamejua kianzio ila sasa naona hili swali ni gumu sana kiasi mtu tu afike huko akaulize vizuri na mbebe laki2 ya ziada
Yaani wewe unatakiwa useme Hali halisi kuwa gharama inatofautiana kutokana na tatizo , utoe na mifano, mbona rahisi tu.Hii ni huduma biashara tofauti na biashara nyingine unaweza weka Gharama mtu akajua ni constant kumbe tatizo lake linahitaji Matibabu mengine zaidi . 🙏
Km hivi mbona hapa umejibu vzrPole boss , Nilikuwa Sipo hewani
Ndyo Tunafanya Veneers Tsh 30,000/= kwa jino( Composite Materials ) pia tunatengeneza Crowns Venners Tsh 80,000/= kwa jino karibu Nitafurahi Nikikuhudumia Namba zipo Hapo kwenye Tangazo 🙏
Hapana. Bei ya veneers niliyouliza mimi inajulikana - angalau kwa range. Na anashindwa nini kusema, kwa mfano, kwamba kuweka jino bandia au veneer moja inaweza kuwa 10K mpaka 100K kutegemea na mambo mengine ya kitaalamu? Mbona kwa wenzetu bei zinakuwa tu hapo mtandaoni?Namsaidia kujibu ingawa simjui kutokana na uzoefu nilionao kwenye marketing.
Kwenye issue ya service provision, si kila kitu/mtu bei moja (one doesn't fit all).
Hapa kila mtu atakuwa na bei yake kutegemea na idadi, size, quality, Maandalizi n.k
Kuna mtu atatakiwa kufanyiwa maandalizi makubwa, mfano kung'oa magego kabla ya kupachika meno bandia.