Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Ila sio vyema kuleta makasiriko, wengine hawawezi kuvumilia na yaweza sababisha ugomvi.
 
Hii imekaa poa sana, mkuu uliwezaje kumtrain shemej...... 🤔
Au huwa unanyoa kipara kama kaka mkubwa hapo juu (maana hyo style ndo huwa haina mambo mengi)
 
Mara ya mwisho kwenda saloon nadhani ilikua mwaka jana July.
Kunyoa kipara saloon niliona usumbufu maana kila week saloon. Jamaa yangu alikua ananinyoa home. Mwishoe nikanunua mashine nikajifunza kujinyoa mwenyewe mpaka na wembe. Ingawa wembe ni changamoto bado.
Scrub nikihitaji nafanya mwenyewe.

Kuhangaishana na wadada wa saloon nishaacha mtu unalazimishwa kufanya huduma mpaka kero.
 
Kilimshinda moto ulikuwa mkali ama vipi!
 
Hii ni kweli kabisa naunga mkono hoja zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…