Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Hii imekaa poa sana, mkuu uliwezaje kumtrain shemej...... 🤔
Au huwa unanyoa kipara kama kaka mkubwa hapo juu (maana hyo style ndo huwa haina mambo mengi)
mwendo wa kipara mkuu maelekezo kidogo tu.... ila anapenda kunyoa ni kama kipaji chake
 
Unapocopy hizi contents za watu uwe unatoa credit mazee
 
Vile vi saloon, huwa mataperi Sana, unakuta ka saloon kadogo, hakana hata air conditioning,anayefsnya scrub ni mdada Hana mvuto, mchafu mchafu, ukimaliza, wanakuambia gharama elfu kumi!
Shenzi kabisa
 
Vile vi saloon, huwa mataperi Sana, unakuta ka saloon kadogo, hakana hata air conditioning,anayefsnya scrub ni mdada Hana mvuto, mchafu mchafu, ukimaliza, wanakuambia gharama elfu kumi!
Shenzi kabisa
Siku hizi mjini kila sehem ukizubaa unatapeliwa kwa huduma zisizo fikia hadhi ya pesa unayo toa.
 
Hahahahahaha. Akaona upara wako ndio pakupoozea ujoto wa kitambaa ambacho mikono imeshindwa kuhimili. Pole sana
 
Taja hiyo saloon ili tujihadhari tukiwa tunaenda. Na ikiwezekana muhudumu ili boss wake amfanyie uchunguzi
 
Taja hiyo saloon ili tujihadhari tukiwa tunaenda. Na ikiwezekana muhudumu ili boss wake amfanyie uchunguzi
Sidhani kama ni saloon moja tu yenye hizi tabia, imekuwa tabia ya kawaida kwa saloon nyingi hapa town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…