Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Kweli, maisha yana mengi
Kuna kipindi nilikiwa na piga tempo na wazee fulani, ndipo nilijua vitu vingi sana. Yaani mpaka unashangaa mzee mzima anakwambia anaccount ya siri mke wala watoto wake hawajui, yaani acheni tuu hivi vitu,kuna wengine hela zao wameweka UTT,unajua kabusa huko home hakufai.

Kuna wazee nyumbani wanaingia saa sita usiku kutoka wanatoka saa kumi na mbili.Hapo ndipo unajiuliza analala masaa mangapi.Kuna wazee sehemu ya kupata faraja ni bar na marafiki, kuna wale wengine ambao bado wana hofu na Mungu wao sehemu yao inayo wapa faraja ofisini, ofisini anaingia saa moja kutoka saa nne usiku.
 
Aliekwambia starehe dhambi ni nani? Ufalme wa Mungu sio mgumu hivyo kama mnavyotaka kuufanya. Lengo la mtoa mada ni Furaha na furaha haichagui, waliokuja duniani kuwa watumwa ndio ambao hawana muda wa kustarehe, Mungu mwenyewe alipata muda wa kupumzika siku ya saba. Ukisikia neno starehe ni Nini kinakujia?
 
Usije zani ni rahisi kuingia ufalme wa mbinguni Sina hakika kama una soma biblia
 
Nashangaaga mtu akiniambia niache starehe nabaki kujiuliza kwani ni dhambi 😃
 
Mkuu huna hela tu, wazee wa 60+ wapo na yatchs baharini humo wanajilia starehe zote bila shida, Mpiji Magohe unalima huko?
 
Mi 45yrs ila uniambii kitu kwa vitoto, na mazoezi nnayofanya nipo kama wa miaka 26 perfoms,
Gari bovu inavutwa na gari nzima
 
NI umri sahihi kuanza kujitambua 35, ukifika 40 ndo uanze kufanya machaguo sahihi hasa ya starehe, mpira, wanawake nk...
Walau kwa umri huo uwe umeanza kujipata, otherwise ni umri wa mawazo na msongo mkubwa kama hata mtoto hauna na ramani hazisomani kabisa!! Unaweza ona huna faida hapa duniani, maana hata ajira rasmi siku hizi zina cutting point za umri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…