Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Zingatio kuu,

"""Nyongeza kwa wazee wenzako ukifika umri wa 35+ anza kutumia hela kupata mwanamke sio umri tena wa kutaka upendwe au utongoze mwanamke, wewe pendwa na mkeo hao wengine hela itumike tu, pia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani"""
 
Hehehe
Unasema
 
Tatizo ni ndoa au? Kama ni ndoa wamejitakia wenyewe kuushi kwenye mahusiano yenye sumu kisa kuogopa wanadamu.
 
Miaka 35 unafiaje kifuani wakati huo ndio umri wa raha kamili ya ejaculation? Bora ungeniambia at 45 ndio hela itumike kumfurahisha mke tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…