Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
How much is enough ili kuweza kuridhisha matakwa na mategemeo ya mwanadamu, utashi tulionao pekee hautoshi ku-prove kuwa sisi ni bora ingawa hatuendani??, sasa kwa sababu upo egoistic, selfish na umevurugwa utaanza kuwapanga watu katika makundi ya akili ndogo ili wewe uonekane upo vizuri upstairs na ufariji nafsi yako.
Cha kushangaza huyu uliempanga katika kundi la akili ndogo akianza kukujibu tena na wewe unajibizana nae hadi mate yakutoka, but dude? Si umesema wewe una upeo mkubwa sasa vp unabishana na mtu ambae unajua akili yake haitakupa matokeo chanya na productive.
Condescending judgement ni pale
mtu anapowahukumu wengine kwa njia inayoonyesha kwamba anajiona bora kuliko wengine na anajiona ni mtu ana akili zaidi kuliko wengine. Hii yote ni Nia ya kuwafanya wengine wajisikie vibaya tu
JF ni uwanda wa burudani, sio kila mtu anacho provide humu ndio maisha yake halisi katika judgement yake ya maisha, masihara na utoto katika majibizano upo mwingi hadi kwenye mabunge ya UK, US.
View: https://youtube.com/shorts/8ABGRuWmAdg?si=hY_o9cOqUF4Sn_R5