Ukishaona mtu anatanguliza sana maneno ya IQ, mara "ooh kuna watu wana IQ ndogo humu" ujue huyo kinachomsumbua ni kitu tunaita Condescending judgment

Ukishaona mtu anatanguliza sana maneno ya IQ, mara "ooh kuna watu wana IQ ndogo humu" ujue huyo kinachomsumbua ni kitu tunaita Condescending judgment

malezi, elimu na exposure ni factor kubwa, high IQ haifanyi mtu awe na mtu mzuri kwenye jamii anayotoka, lakini anakuwa smart kwa uelewa na ku solve changamoto za mazingira yanayomzunguka, mfano mzuri ni Elon Musk ni sadist kumzidi Trump
Hakika

Alafu ana masihara sanaaa ila bongo tutamuita punguani😂😂
 
Back
Top Bottom