Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Maana yake ni kwamba bado sera za Magufuli zinakubalika kuliko za mwanasiasa yeyote hapa nchini.
Hatutaki ukabila, utekaji, utesaji na uuaji kisa hutak upingwe!! Tanzania yetu hatukuwahi kua ivo wala kuzungumzia ukabila lkn awamu iliyopita ndio imezaa yote hayo!!!
 
Kuna watu hawajaelewa! Kushindanisha kaburi la Magufuli na mwanasiasa mwingine haimaanishi kaburi ndilo litawale, ila tunamaanisha sera za marehemu na namna alivyotawala bado hakuna mwanasiasa yeyote anayeweza kulinganishwa naye!!

Fikiria mtu kama Zito ashindanishwe na Magufuli leo, si Zito anapigwa knockout sekiunde ya kwanza tu ya mpambano!!
 
Hatutaki ukabila, utekaji, utesaji na uuaji kisa hutak upingwe!! Tanzania yetu hatukuwahi kua ivo wala kuzungumzia ukabila lkn awamu iliyopita ndio imezaa yote hayo!!!
Hizo ni tuhuma ambazo hakuna awezaye kuzithibitishwa zenye lengo la kumchafua ndio maana watanzania walishazizibia masikio!!
 
Kazikwe nae sisi tulio hai hatutaki huu ujinga.
 
Mataga wanashida sana , even how they are thinking ni totally upuusi
 
na wale wengine wakimsema vile watakavyo mnataka waache eti mfu hasemwi
 
Hizo ni tuhuma ambazo hakuna awezaye kuzithibitishwa zenye lengo la kumchafua ndio maana watanzania walishazizibia masikio!!
Refer vijana wake.. sabaya and co. Vitu vingine havihitaj akil kubwa kuvielewa mzee 😂😂 alikua anajua na alivibariki that's why hakufanya lolote!!!
 
Niwape mfano: Mwanasiasa aliye hai anahamasisha chanjo za corona, lakini bado watu walio wengi watakubaliana na marehemu aliye kaburini kukataa chanjo!!! Niambie pamoja na kampeni kubwa na vitisho na kulazimisha ni asilimia ngapi ya watanzania wamechanja? Hapo kaburi halijashinda?? Ukitaka watanzania wakuponde wewe mponde tu Magufuli!!
 
Ungesema wewe na baadhi ya watu. Mimi kwangu jiwe ni rais wa. Ovyo kuwahi kutokea duniani
 
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!! Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!!!!
Mafisadi walituaminisha kwamba nchiyetu ni maskini iliwapige kodizetu alafu huduma muhimu zakijamii zikikosekana tuzubaetu tuseme nchi nimaskini ndio maana hatuwezi kujihudumia.

Mungu alimleta Magu ili kutuonyesha njia.
 
Kazikwe nae sisi tulio hai hatutaki huu ujinga.
Hata kama haumkubali Magufuli kwa maneno lakini vitendo vyako na vya wengi vinaonesha wanamkubali sana Magufuli!! Wengi wanaompinga kwa maneno bado hakubali kuchanjwa kama Magufuli alivyoshauri. Bado wapinzani wa Magufuli hawavai barakoa ikiwamo wanasisa kama Magufuli alivyoshauri!! Wanasiasa wa leo huvaa barakoa tu kwenye vikao kama kamera ikiwapo ili kuwafurahisha na kuwazuga mabeberu wanakobembeleza pesa za corona! Huo ndio nukweli, si tunaishi nao kwenye jamii na tunawajua sana!!
 
Tuambizane ukweli, ni mwanasiasa gani anaweza kusimama na Magufuli leo? Kama wameshindwa kung'oa alichokipanda kwa watanzania japo amefariki unadhani wataweza kushindana naye? Mwulize Gwajike alivypigwa knockout na Magufuli mpaka sasa kuhusu namna ya kupiga vita corona!! Hadi akaonekana hafai kubaki waziri wa Afya!! Yeye mwenyewe hapo alipo havaagi barakoa labda mbele ya kamera kwa unafiki!!
 
Hatutegemei fisadi na familia yake ampende Magufuli au mkwepa kodi!!
mkabila na mbinafsi hafai kuwa kiongozi, kama huwamini pitia teuzi zake, ajira za waalimu 2020 alijaza wasukuma, ni rais wa ovyo kuwahi kutokea duniani .
 
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.

Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!

Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Matako yako
 
Tumelazimika kuwaonesha wale ambao kila siku wanampaka matope Magufuli kuwa HATUDANGANYIKI!! Tunamfahamu mwenye mapenzi ya dhati na watanzania kuliko hawa wachumia tumbo!! Mchango wa Magufuli kwa ustawi wa nchi yetu hauwezi kufutika!!
 
Back
Top Bottom