Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Hawawezi kumshinda JPM. Hapa karibuni kumeibuka kikosi cha kumchafua JPM. Lakini wameshindwa vibaya mno.

Ni mara yangu ya kwanza kuona watu walio hai wanamshambulia Marehemu na hatimaye wanashindwa vibaya sana.

WEMA HAUWEZI KUSHINDANA NA UBAYA. WEMA UTASHINDA TU.
Tumeshindwa kivipi? Mbona tunamwaga point, tungekuwa hatuandiki kweli ungetuambia Yule Aliye Kaburini katushinda
 
Back
Top Bottom