Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Matapeli ya msoga yatapinga hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja Party haituhusu wala hatuitambui. Tutabanana hukuhuku chichiyemu!!Tunaomba Umoja Party mfanye hivyo badala ya kujisemesha mitandaoni.
Tumeshindwa kivipi? Mbona tunamwaga point, tungekuwa hatuandiki kweli ungetuambia Yule Aliye Kaburini katushindaHawawezi kumshinda JPM. Hapa karibuni kumeibuka kikosi cha kumchafua JPM. Lakini wameshindwa vibaya mno.
Ni mara yangu ya kwanza kuona watu walio hai wanamshambulia Marehemu na hatimaye wanashindwa vibaya sana.
WEMA HAUWEZI KUSHINDANA NA UBAYA. WEMA UTASHINDA TU.