Matako yako yanakuwasha,tafuta bwana ayakuneTumelazimika kuwaonesha wale ambao kila siku wanampaka matope Magufuli kuwa HATUDANGANYIKI!! Tunamfahamu mwenye mapenzi ya dhati na watanzania kuliko hawa wachumia tumbo!! Mchango wa Magufuli kwa ustawi wa nchi yetu hauwezi kufutika!!
Uongo hauwezi kuushinda ukweli hata siku moja!! Kazi ya kuchagua walimu haijawahi kuwa ya Rais hata siku moja. Tuhuma zako ni kichaa tu anayeweza kuziamini!!mkabila na mbinafsi hafai kuwa kiongozi, kama huwamini pitia teuzi zake, ajira za waalimu 2020 alijaza wasukuma, ni rais wa ovyo kuwahi kutokea duniani .
Na ushauri wa kibajaji pia uzingatiwe, Kila mtu akazikwe kwenye kaburi la anayempenda.Ushauri wa Zitto uzingatiwe
bado naendelea kutafakari kauli ya dr slaa halafu baadaye nitachangia.Muuwaji hawezi kuachwa alale, tunataka awe study case ili liwe fundisho kwa wauwaji wote na madikteta wote.
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!
Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Umoja Party siyo chama cha Magufuli. Tutamshindanisha ndani ya chama chake ambacho kila mmoja anakifahamu!! Maana yake tutashindanisha sera na utendaji wa Magufuli dhidi mgombea yeyote wa CCM na yule wa upinzani!!Nendeni mkalishindanishe 2025 kupitia Umoja Party,
kwani Yule msukuma aliyekuwa karibu tamisemi ni mtu wa wapi? Nasema Jiwe ni raisi wa ovyo duniani alivuluga kila kitu , Huyu jiwe fatuma ni muharibifu sanaUongo hauwezi kuushinda ukweli hata siku moja!! Kazi ya kuchagua walimu haijawahi kuwa ya Rais hata siku moja. Tuhuma zako ni kichaa tu anayeweza kuziamini!!
Bila shaka unamaanisha kuwa naye ni jipu!!Kama kuna mtanzania anamponda Magufuri basi huyo nae ni jibu
Team Magufuli ndio wanatabu sana Mzee Kazingua big time tusiongee mabaya yake kisa amefariki?Na ushauri wa kibajaji pia uzingatiwe, Kila mtu akazikwe kwenye kaburi la anayempenda.
Tuanze kumzika zitto kwa Maalim seif au kwa mama yake Shida.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Zinakubalika kwa wanyonge wasiojua ulaghai wakeMaana yake ni kwamba bado sera za Magufuli zinakubalika kuliko za mwanasiasa yeyote hapa nchini.
Ok, basi 2025 mtalichukulia fomu CCM litamsinda SamiaUmoja Party siyo chama cha Magufuli. Tutamshindanisha ndani ya chama chake ambacho kila mmoja anakifahamu!! Maana yake tutashindanisha sera na utendaji wa Magufuli dhidi mgombea yeyote wa CCM na yule wa upinzani!!
DuuuuhWatanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.
Lakini pia Magufuli alituongoza vizuri sana kwenye vita dhidi ya corona. Wakati wa Magufuli mabeberu hawakupata kabisa fursa ya kutumia corona kutunyonya! Chanjo za corona zisizo na sifa ya kuitwa chanjo (maana hazimkingi mtu na corona) hazikupata nafasi kabisa nchini mwetu! Hatimaye Dunia imekubali kile ambacho Magufuli alikiona mwanzo kabisa kuwa Dunia inabidi ijifunze kuishi pamoja na corona kama ilivyo kwa magonjwa mengine! Watanzania tulio wengi huwezi kutuambia kitu kuhusu Magufuli!! Tunampenda!! Tunamkubali!!! Ni mchapa kazi!! Ameacha alama isiyofutika: SGR, STIGLER'S GEORGE, MAKAO MAKUU DODOMA!!
Haya yote yalikuwa kama ndoto ya mchana isiyotekelezeka kabla ya Magufuli!! Lakini Chini ya Magufuli yote yamewezekana tena kwa muda mfupi!!! Ukimpiga vita Magufuli ni kutwanga maji kwenye kinu!!! Hata ukishindana na kaburi lake atakutoa knock out!
Sema wewe na Sukuma Gang wenzio ndiyo mtachagua kabuli.Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea kujifanya miungu watu kwenye ofisi za umma na wakwepa kodi. Mtu ulikuwa ukiingia ofisi ya umma unapokelewa na kuhudumiwa kwa heshima. Sasa hivi miungu watu wamerudi kwa kasi maofisini.