Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Habari ndiyo hiyo!! Wametuchosha hawa wasiasa uchwara kila siku wanamtukana na kumpaka matope Magufuli wakati wenyewe hawana lolote na hakuna wanachoweza kutuonesha kama alama ya uzalendo wao kwa nchi yetu!! Tumenyamaza hadi hatuwezi kunyamaza tena!! Ndani ya Miaka mitano, Magufuli ametuongoza na kufanya maendeleo makubwa na kuwezesha yale yaliyokuwa yanaonekana kuwa hayawezekani kama vile KUHAMISHIA MAKAO MAKUU DODOMA, KUANZA KUJENGA RELI STANDARD GAUGE (SGR), KUANZA UJENZI WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE LA KUFUA UMEME (STIGLER'S GEORGE), FLY OVERS etc.
 
Sema wewe na Sukuma Gang wenzio ndiyo mtachagua kabuli.
Mama ameziba teuzi zote zenye ukabila na ukanda wa sukuma gang
Hayo maneno yenu hayabadili chochote kuhusu ukweli kuwa Magufuli alikuwa rais bora, mchapa kazi, aliyepigania raslimali zetu zisiporwe na mabeberu, wakati wengine walikuwa wanapitisha sheria kwa hati ya dharula kuwezesha mabeberu kupora madini na gesi kwa mikataba ya kifisadi iliyobebwa na sheria za kifisadi zilizopitishwa na bunge kwa hati nya dharula!! Watu sampuli hiyo huwezi kutegemea wampinde Magufuli. Lakini watanzania wana macho na masikio na akili, wanafahamu kila kitu. Mafisadi humwita kila mtu anayetetea ukweli kuwa sukuma gang!! Mimi binafsi syo msukuma!!
 
Tanzania haikuwahi kuwa na miradi mikuwa kama mradi wa STIGLE, na SGR hapo kabla.
Usubutu wa hayati kuanzisha miradi hiyo mikubwa kabisa at the same time mambo mengine yanaendelea kama ujenzi wa flyovers madaraja makubwa, umeme vijijini, stand, ujenzi wa hospital, na mambo mengine mengi, nialama tosha kabisa kwa mtu mwenye akili kugundua kwamba hayati Magu alikuwa mzalendo na mtu alieipenda nchiyake kwa dhati.
Tukumbuke mambo hayo yote yame fanyika ndani ya miaka minne na nusu.

Ingawa miradi mimgine bado inaendelea kujengwa lakini nikama alitulazimisha kufanya mambo ambayo tulidhani hatuyawezi lakini kumbe yalikuwa ndani ya uwezowetu.

Wachumia tumbo uchwara watakataa hata mifano hai kama hiyo.

Waache waedelee kupambana na kaburi mbaka wafe kwa mastress ya kijinga.
 
Matako yako yanakuwasha,tafuta bwana ayakune

Unawaumbua wazazi wako kuwa hawakukulea vizuri. Mtu wa jinsi yako mtu anaweza kutegemea nini toka kwako zaidi ya matusi uliyofundishwa na wazazi wako. Yamkini hayo ndiyo matusi waliyokuwa wanakutukana nayo wazazi wako na umejifunza kwao, pole!! Magufuli atabaki kuwa rais bora aliyeiingiza nchi yetu kwenye uchumi wa kati na haikanushiki!!
 
Yeye mwenyewe Magufuli akiwa hai ilibidi anajisi uchaguzi ili atangazwe mshindi kwa shuruti,nini kaburi lake? Alitakiwa aheshimu box la kura ili ajue anavyokubalika. Hizo nyingine ulizosema ni same shit different day.
 
kama unapipenda kaburi lake nenda ukazikwe nae
 
Sema wewe na Sukuma Gang wenzio ndiyo mtachagua kabuli.
Mama ameziba teuzi zote zenye ukabila na ukanda wa sukuma gang

Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Kila uchwao wanasiasa uchwara wanashindana na marehemu aliye kaburini lakini wameshindwa kumshinda!! Sana sana wanaishia kupondwa na kudharauliwa na watanzania walio wengi!!! Mtu kama Zito hadi anatia huruma!! Utafikiri hajawahi kufiwa!!! Hata aibu tu ya kinafiki hana!!! kila siku anamtukana marehemu!!!
 
Usiruhusu Ibilisi atumie mawazo Yako. WATAKATIFU hawaishi kaburini, kaburi ni LANGO la KUZIMU. Watanzania Hawezi fanya maamuzi ya MASHETANI.
 
eti watanzania walio wengi haahaah! ulitakiwa useme kuwa ni wewe na mkeo sio kuwasemea usiowajua wanawaza nini..
 
Misukule ya JPM ndio inaweza kuzungumza hivi.
 
Faraja unafikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…