Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

Utakuwa ni chizi kuchagua kaburi. Inabidi tu upelekwe Mirembe ukatibu ugonjwa wa KICHAA.

Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Kimbwenerehi wa marehemu ameanzisha siledi.🤣🤣🤣👆👆👆👆
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Nenda nyumbani ukapumzike. Imani yako inakupotosha.
 
Kuna watu mnatanani hii nchi iongozwe na wafu. The guy is DEAD! Ni MFU!
 
Ridiculous! Hivi Watanzania mukoje? Kwenye corruption yeye ndiye alikuwa MOST CORRUPT. Maana kwa miaka 2016-18 CAG alimkuta na upotevu wa Tsh 2. 4 Trllion, na alipomhoji, akamkatiza mkataba kinyume na matakwa ya Katiba

Magufuli aliiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 wote. Wewe unasema eti anakubalika??

Sera ya Magufuli ya kuua wakosoaji kama akina Ben Saanane, kushambulia akina Tundu Lissu, speed ya kupora fedha za wafanyabiashara, HATUITAKI kabisa.

Magufuli miaka 5 kaua Ben Saanane, Azory Gwanda na wakazi wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji zaidi ya 300. Mwezi Desemba 2020 kaua Wapemba zaidi ya 10. Magufuli mwizi, mwongo, mbaguzi wa kikabila na kikanda, muumini wa Shetani na mwishowe ni TAKATAKA tu
 
Kwa hiyo wewe umechagua kaburi, unataka wafungue uingie, au utabaki tu kulala ndani ya kile kibanda?!
 
Kama ndivyo ulimaanisha nakushauri BADILI TITLE. Ukifanya Ivo utapata ANGLE mzuri ya kuwasilisha hoja Yako. Ukifatilia Kwa makini utaona wengi wamechkulia negative sababu hata Mimi nakubali sana utendaji na uthubutu wa Magu.
 
Wenye Vyeti feki, Mafisadi, Wezi, wauza Unga, Wazembe na Madalali wa Mabeberu watakupinga
 
Kazikwe chato chapu na haraka
 
Wala hakuna haja mgombea awe marehemu magufuli. Magufuli ni fikra. Kufa sote hatuna budi ila balaa tumepoteza kiongozi wa aina yake. Ndani ya samia ni umwinyi hakuna mjamaa. Cha kufanya ni wazalendo wa kimagufuli, kinyerere kuungana tuweze kuchagua mtu wetu kuongoza nchi 2025.
 
Hawawezi kumshinda JPM. Hapa karibuni kumeibuka kikosi cha kumchafua JPM. Lakini wameshindwa vibaya mno.

Ni mara yangu ya kwanza kuona watu walio hai wanamshambulia Marehemu na hatimaye wanashindwa vibaya sana.

WEMA HAUWEZI KUSHINDANA NA UBAYA. WEMA UTASHINDA TU.
 
Muuwaji hawezi kuachwa alale, tunataka awe study case ili liwe fundisho kwa wauwaji wote na madikteta wote.
Wewe tunakujua una stress za kubutuliwa na Magu kisha akakutelekeza!
 
Kuna watu mnatanani hii nchi iongozwe na wafu. The guy is DEAD! Ni MFU!
Hiyo ndiyo ilikuwa maana yangu.
 
Tunaomba Umoja Party mfanye hivyo badala ya kujisemesha mitandaoni.
 
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…