mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #101
Utakuwa ni chizi kuchagua kaburi. Inabidi tu upelekwe Mirembe ukatibu ugonjwa wa KICHAA.
Kuna watu hawajaelewa, tunaposema kushindanishwa na kaburi la Magufuli, tunamaanisha sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake na mapenzi yake kwa ujumla kwa watanzania na Taifa letu! Maana kwa sasa yuko kaburini na wanasiasa uchwara wanajaribu bila mafanikio kuponda sera zake, utendaji wake, uchapa kazi wake, uzalendo wake nk!! Hadi sasa hakuna aliyeonesha dalili za kuweza kuvivaa viatu vya Magufuli!!