Jaribu kutumia vyoo vya chuo kikuu au Halmashauri za vijijini.Na yeye complete human being akaona pawe na shule,usafiri tofauti kati ya yeye mweupe na weusi!?..hivyo ndivyo wafikirivyo complete human beings!?
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi kwenye Mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI. Endapo kama tungewajumuisha, basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."Na yeye complete human being akaona pawe na shule,usafiri tofauti kati ya yeye mweupe na weusi!?..hivyo ndivyo wafikirivyo complete human beings!?
Vyoo vya vyuo vikuu nimetumia Sana,wewe ilibahatika kutumia vyoo vya umma vya makaburu?..nimetazama Sana snakes in the city south Africa,nyumba za makaburu chafu tu,mmoja aligongwa na Kobra kwenye govi lake,Kobra alipenya kupitia Bomba la mavi lililopasukaJaribu kutumia vyoo vya chuo kikuu au Halmashauri za vijijini.
Nchi inatafunwa na koo ambazo hazizidi 10 sababu ya ujinga wetu kupenda Simba na Yanga na kuacha kufuatilia mambo ya msingiMkuu utasemwa unajiona sasa hivi.
Dar kwanza advertise unaiona kutoka juu, vibati vyenye kutu mji mzima.
Nilishangaa sana Oysterbay pale shuleni barabara ina mashimo kibao.
Mandela Road barabara kubwa inasafirisha malori kwenda bandarini, ilikuwa haina taa.
Angeenda kujenga kwao uholanzi,kiliwapeleka kipi hapo?..walipofika hawakukuta social order?!"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi kwenye Mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI. Endapo kama tungewajumuisha, basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."
Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi wa rangi.
Nafikiri umeelewa Sasa kwa nini Makaburu walifanya hayo uliyolalamikia kwenye comment yako.
Hapo vigodoro, kusutana na kuibiana wanaume tu.
Hali hii ni tofauti kwa nchi zilizo endelea zenye ubora mkubwa kuliko Tanzania mfano China,Vietnam na Korea kaskaziniKumbbuka: Kwenye nchi yoyote ile hapa duniani ambayo Ina Utawala wa kidikteta au Utawala wenye itikadi ya Ukomunisti au Ujamaa, Wasomi na Watu wengine wenye akili na elimu kubwa huwa wanahesabika kuwa ni Maadui wakubwa zaidi wa Utawala uliopo madarakani.
Usithubutu hata kidogo kutaka kuleta idea, fikra au mawazo yako mapya kwenye nchi yoyote ile yenye Utawala wa namna hiyo, utapotezwa ndani ya muda mfupi kabisa, utahamishwa kutoka kwenye Sayari hii ya Dunia haraka sana bila kuchelewa. Take care!
Wewe personal una maendeleo??Hali hii ni tofauti kwa nchi zilizo endelea zenye ubora mkubwa kuliko Tanzania mfano China,Vietnam na Korea kaskazini
NdioWewe personal una maendeleo??
Mwigulu kajitutumua na tu miradi na mchina wake yule mkandarasi wa miradi ya BBRt, yenye 10 percent. utafikiri wako serious kumbe ni ufisadi mtupuMod naomba univumilie niteme nyongo!.
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dara miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?
Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabala hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!
Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.
Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?
Kwa kweli aibu naona mimi.
Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?
Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.
Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Ibcompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na vinchi vimechokaaa. Hii inakuwaje.
Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo keanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.
Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hii hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.
Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miska nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Umasikini ni mtaji wa CCMMod naomba univumilie niteme nyongo!.

Hii ya mji kuonekana chakavu, mabat kutu ni tatizo kubwa kwa Jiji la Dar la Zanzibar kiasi kwamba mgeni anayeenda kulala ktk miji hiyo anajua anaenda kulala kwenye Jiji chakavu. Miji hizi ziboreshwe kwa sababu ndiyo uso wa nchi kwa wageni.Mkuu utasemwa unajiona sasa hivi.
Dar kwanza advertise unaiona kutoka juu, vibati vyenye kutu mji mzima.
Nilishangaa sana Oysterbay pale shuleni barabara ina mashimo kibao.
Mandela Road barabara kubwa inasafirisha malori kwenda bandarini, ilikuwa haina taa.
Kuna "semblance" ya ujenzi miaka nenda rudi huwa inafanyika lakini hamna lolote la maana!.Yaani huwa ni vumbivumbi tu maeneo hayo utadhani Kuna kitu serious kinafanyika , kumbe ni hopeless na useless kabisa!Nyerere road si inajengwa mwendokasi/brt!!,ukitoka tu usawa wa airport mbona pako fresh
Bila kusahau vyoo vya vituo vikuu vya mabus nchini.Jaribu kutumia vyoo vya chuo kikuu au Halmashauri za vijijini.