Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Nchi ya watu wachovu.
Viongozi ni kana kwamba wanaona fahari kuongoza wachovu.
Wako busy kujijenga wao na familia zao.
Ndiyo maana nikiwaonaga hata wanaoteuliwa kushika nafasi mbalimbali, ni wale wenye kilo nyingi (hadi wengine wanaambiwa wapunguze kidogo!).
Ooh Tanzania nchi yangu!
 
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?

Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabla hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!

Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.

Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?

Kwa kweli aibu naona mimi.

Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?

Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.

Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Incompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na kinchi kimechokaaa. Hii inakuwaje.

Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo kwanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.

Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hivi hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.

Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miaka nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.

Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Nitarudi kuipopoa nchi yangu
 
Mkuu utasemwa unajiona sasa hivi.

Dar kwanza advertise unaiona kutoka juu, vibati vyenye kutu mji mzima.

Nilishangaa sana Oysterbay pale shuleni barabara ina mashimo kibao.

Mandela Road barabara kubwa inasafirisha malori kwenda bandarini, ilikuwa haina taa.
Mliosomeshwa vizuri wote mmekimbia

Mmeacha waganga njaa

What do you expect ?
 
Tatizo ni Ccm
 
Hata barabara zinajengwa kihuni. Barabara zote za mitaa baada ya mwaka tangu zijengwe zinaanza kubomoka na zinaachwa hivyo hivyo. Wanajenga barabara kisiasa ili wazifungue wakati wa uchaguzi. Wanajua wakijenga haraka haraka na zikaanza kufanya kazi hadi ikifika uchaguzi mkuu zitakuwa zimeharibika hivyo watakosa cha kuwadanganyia watu.
 
Ukizingatia Nyerere road ni vumbi tupu,watu wanaotumia barabara ile wanakuwa na vumbi as if wametoka kigoma,juzi kati kuna boda boda alinichukulia kimzigo airport,daah kufika mjini anaonekana meno tu😀.....ujenzi wa pale haukustahili kuwa slow vile,ilipaswa iwe day and night...... kwasababu pale ndiyo lango la nchi
 
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala mnaoshinda kwenye ndege kila kukicha mnnaenda kwenye nchi za watu huwa hamuoni huko kwa wenzenu kukoje?

Yaani just imagine, barabara ya mwanzo ambayo wageni wanapita kabla hawajaenda popote nchini wanakutana na kituko cha barabara ile. First impression inayopatikana hapo ni ya kanchi masikini ka watu masikini, ka viongozi hopeless!

Yaani hako kabarabara kako hivyohivyo miaka nenda rudi pachovu choka mbaya, yaani vagalanti hovyohovyo.

Nyie watawala mnatutia aibu, mnajionaje fahari kuwa viongozi msioweza kudeal na issues ndogo namna hiyo kama hiyo ya kuipa nchi "reception" ya maana?

Kwa kweli aibu naona mimi.

Miviongozi kazi kujilimbikizia mali, kutwa kucha kwenye ndege, misafara ya mamia ya magari, lakini barabara tu ya airport wanayopita daily kwenda huko nje ya nchi kuuza sura imewashinda!. Sijui hii mijitu ikoje?

Kila siku ukipita maendo hayo unakutana na miradi uchwara as if wanajenga, lakini miaka yote huo ujenzi huwa hauishi, ni magumashi, hakuna lolote la maana linaloonekana!. Yaani choka mbaya choka mbaya, hovyo hovyo kabisa!.

Nyie viongozi wa nchi hii badilikeni. Incompentency yenu ndo inatufanya sisi huko duniani tuonekane kama nyani tu. Nchi zina marasilimali kibao halafu unakutana na kinchi kimechokaaa. Hii inakuwaje.

Yaani unapita barabarabani pembeni unakutana na mamitaro makubwaaa hayajafunikwa ambayo kwanza ukifuatilia vizuri hayana exit ya mitoni wala sewage system yoyote ya maana, yaani yapo ceremonial tu.

Mamitaro makubwa hayajafunikiwa na yamekaa kama mahandaki ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Hivi hawa wenye dhamana ya utawala wakienda huko kwa wenzetu wanajifunza chochote kweli?.

Achilia mbali hilo. Ukishuka airport njiani unakutana na wabongo wamechoka mbaya, hali ngumu, wamekonda, wameweka vimizigo vyao barabarani masikini wanahustle. Hii iko hivyo miaka nenda rudi. Wakati huo kuna watu wanaitafuna nchi hii kwa kula na kusaza. Ni lini wansnchi wataanza kula matunda na mema ya nchi?. Watawala wanawaza siasa tu, siasa tu.

Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Uko sahihi,unajiuliza wanafeli wapi? Ni hapa mnapotumia matrilioni ya hela kuwekeza kwenye liabilities badala ya sekta ambazo Zina watu wengi.😆😆😆🔥👇👇
Screenshot_20240730-174549.jpg

Samia ndio kajaribu kugusa ila Kwa kuwa Kuna rundo la wajinga hawaoni hili.

Hii Nchi inatakiwa tupate Rais aliyesomea Uchumi ndio itakwamuliwa.

Maisha ya Watanzania ni ya kifukara sana Wala sio Siri ndio uhalisia wenyewe
 
Ndio maana mkuu wa mkoa wakati ule alisema bomoeni vibanda na ni marufuku kufanya biashara maeneo hayo.
Mnawatia aibu.
Inatakiwa mgeni akifika tuonekane wote tuna pesa.
Na huyo Mgeni mwenyewe ana pesa!? Siyo kaja kuchuma,wakati sisi tunaamini kwenye falasafa ya Mgeni njoo mwenyeji apone!!
 
Mkuu utasemwa unajiona sasa hivi.

Dar kwanza advertise unaiona kutoka juu, vibati vyenye kutu mji mzima.

Nilishangaa sana Oysterbay pale shuleni barabara ina mashimo kibao.

Mandela Road barabara kubwa inasafirisha malori kwenda bandarini, ilikuwa haina taa.
Tanzania hii ni Nchi ya shaghalabaghala ambayo jamii yake haijali,haithamini Wala haijitambui.

Swala sio viongozi Baki aina ya jamii ambayo haiana Ustaarabu ndio matokeo yake haya sasa.

Athari za ujamaa na uswahili zitatutafuna sana.

Nilisikitika kuona Jamaa mmja wa Burundi anajenga apartments nzuri sana kule Bujumbura nikalinganisha na vile vijumba vya Iyumbu Dom nikajua tuna Nchi ya hovyo sana.
 
Lucas Mwashambwa njoo unyooshe maelezo huku
Lucas ndio mwenye dhamana ya kujenga hii Nchi na nyie mnakuwa mnafanya nini?

Kwanza mipango ya Nchi hii Huwa haiko coercive yaani ni Bora liende.Mfano unakuta mtu anajua hii ni Barabara anatakiwa asimike Bomba za maji ila hafuati usahihi unatakiwa ndio maana unakuta mradi ukianzanaanza kuingia gharama zingine za kuhamishwa miundombinu ambayo ilitakiwa kuwa imewekwa sehemu inapostahili ila hawakufanya hivyo.
 
Kusema ukweli Dar hasa kama huna kipato unaishi kwa stress na mahangaiko kuliko mtu aliyeko Sengerema kijijini huko!
Utafika uliofanyika Kenya Unaonesha watu wa countryside wanatajirika kuliko walioko Miji mikubwa,the likes na hapa Tanzania na Dar yenu.

Kwa Sasa kijjaa wa Mkoani anaelima ana nafasi ya kuwa na maisha mazuri kuliko wa Dar na ndio maana Miji ya Mikoani hakuna mabanda kama ya huko Dar 😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom