Ukisikia kauli hizi, jua umekwishakufa, bado kuzikwa tu

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
677
Reaction score
1,234
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.

Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.

Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:

1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"

2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"

3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k

Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.

Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
 
Ilinichukua muda takribani miaka 6 kugundua hilo... Sasa baada ya kuwa Mkaksi wamebaki wachache ambao ndio ndugu zangu na familia yangu wengine wote walikuwa friends with benefit wasio na mchango wowote kwangu zaidi ya entitlement. Binadamu wengi wetu ni manipulators na ukiwaonyesha kwamba hawawezi kukumanipulate either watakuheshimu au watakata mawasiliano kabisa kwa aibu.
 
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.

Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.

Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:

1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"

2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"

3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k

Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.

Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
Chai
 
Asante sana zee_latown kwa mada hii nzuri na yenye kutafakarisha! Ni kweli kabisa, kuna ukweli mkubwa katika hili la kujitathmini tunaposikia kauli fulani zikitolewa juu yetu.

Ni muhimu sana kuwa mtu mwema, mstaarabu na mrahisi kuelewana naye, lakini pia ni muhimu kujua kuweka mipaka na kusimamia msimamo wako. Kama ulivyosema, kutokujua kuweka mipaka kunaweza kukufanya utumike na kukosa 'uhai' wako halisi, na hapo ndipo tunapokosa usawa.

Kujitambua na kujua thamani yako ni muhimu sana katika kuepuka kuwa 'walking dead' na badala yake kuwa binadamu kamili mwenye usawa kati ya upole na msimamo. Mada hii inatukumbusha umuhimu wa kujipenda na kujilinda. Asante sana kwa kutuletea huu mtazamo muhimu!
 
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.

Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.

Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:

1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"

2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"

3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k

Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.

Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
FACT 🤟
 
Back
Top Bottom