D
DeletedMember281674
Guest
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.
Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.
Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:
1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"
2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"
3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k
Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.
Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
Haya Maisha ni Bora uwe mtulivu tu kama Mhe. Magreth Sitta ili uendelee kula mema ya Nchi