D
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.
Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.
Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:
1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"
2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"
3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k
Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.
Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
Mpaka Bia ipande kichwani kwanza.Kwani min -me mpk sasa hajapandisha uzi 🤔
fara wewe, wengine tunaishi kijasusi kulingana na mazingira tuliyopo....unabadirika kama kinyongaaaaa in qchief voice...Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.
Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.
Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:
1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"
2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"
3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k
Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.
Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
HekmaHabarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.
Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead.
Sisemi kwa nini ila uklifikiri vizuri ukiwa umetulia utang'amua ni kwa nini... kauli hizo ni hizi:
1. "Huyu ni mtu poa sana, hana shida mbona"
2."Huyu kijana ni muelewa sana, hanaga noma wewe ongea naye tu"
3. " Wewe 'mkaka' mpole sana
mpaka raha"
4. N.k
Maneno hayo hapo juu yakitoka kwa wingi juu yako, jitafakari sana. you are manipulated and taken advantage of. siyo ujanja wala busara. ni ushamba na ni wazi unatumika.
Siyo kwamba ni vibaya hapana, ila yasizidi, ni bora yazidi maneno haya:
1. "Kijana yule ni jeuri sana'
2. "Yule 'mkaka' ana kiburi na anaringa
3 " yule ni mbinafsi sana"
yakizidi hayo utakuwa salama...
ila yakizidi hayo ya kwanza then you are a walking dead. binadamu kamili lazima ujue kucheza rafu na ku-balance kidogo.
Hahahaha ngj leo gademiti 😅Mpaka Bia ipande kichwani kwanza.
Kuna mtu kasema ety upo kwa dada umenyanganywa simu 😅Kwa nini bwashee 😅
Mpotezee bwasheeKuna mtu kasema ety upo kwa dada umenyanganywa simu 😅
KWA mfano mimi ninaweza kumuazima mtu kiasi kisichopungua laki 1Samahani kidogo, niko tofauti na mtazamo wako, kuwa mwema sio ushamba, wala sio kwamba ni bwege hapana, inategemeana na vile ulivyo ilimradi wema usizidi uwezo
Hapana ndio maana nimesema wema uwe na kiasi kwa sababu ukizidisha kiasi hatari ya kuumia ni kubwaKWA mfano mimi ninaweza kumuazima mtu kiasi kisichopungua laki 1
na hata kama mtu huyo asipokusudia kunilipa siwezi kuharibikiwa mambo yangu
je, ni busara kuendelea kuwapa pesa watu wa aina hiyo kwa sababu tu nina uwezo wa kuwakopesha ?
hapo kwenye kuu balance huo wema ndio kuna pande mbili ambazo mleta uzi anaziongelea.Hapana ndio maana nimesema wema uwe na kiasi kwa sababu ukizidisha kiasi hatari ya kuumia ni kubwa
Bora kubalance, kuliko kusema bora uonekane jeuri, kiburi ina athari kwa upande wako na kizazi utakachokiachahapo kwenye kuu balance huo wema ndio kuna pande mbili ambazo mleta uzi anaziongelea.
unaweza uka balance ukaonekana mbaya au uka balance halafu ukaonekana mtu poa.
hakika ukiwa shoga tunaingilia katiWewe ni boss wa maisha yako fanya unacho penda ilimradi usiwe shoga hapo tutaingilia kati