Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

Juzi Kati nilikua napiga story na mama akawa ananisimulia story mbali mbali..

Kanda ya ziwa hizo dawa zipo na zinafanya kazi Sana Sana..
 
kwaiy mgonjwa mkaamua kumuanika juan ili akufe mrith mali🙄
 
Mimi nataka madawa ya biashara. Naombeni connection nikaongezee makali
 
Wazungu huko kwao wanahangaika na matechnolojia ya kuunda uhai ama jinsi ya kuzuia kifo, bila kuju hizi Technolojia tayari zipo afrika tangu zamani sana, alafu utawaona hawa wapumbavu watumwa ya hizo imani za wazungu wakidhihaki tiba asilia za kiafrika.

Ukweli ni kwamba kama tungezirudia asili zetu tungesolve matatizo mengi sana yanayotusumbua kuanzia kiuchumi, kiafya, kijamii mpaka kiimani, kwakua tumeegemea ktk mifumo ya wazungu&waarabu acha maisha yatunyooshe, wakaati huo hao watu weupe huja afrika kwa mwamvuli wa utalii&kutoa misaada kumbe wanatufanyia Umafia, kuSpy kujua ni vitu gani ambavyo tunavijua na wao hawavijui wanarudi kuzimalizia zile siri na technolojia ambazo hawakuiba kipindi cha ukoloni, ndiomaana wakija Afrika hupenda kufikia ktk jamii zinazofuata taratibu za kimila na sio huko mijini mlikojazana.

Wazungu si wajinga kujifanya kuwapenda hao wamasai ama jamii za kiafrika zinazoishi huko vijijini, wanajua kuna vitu wakivicopy wakirudinavyo makwao wanaviendeleza alafu wakifanikiwa wanajiita wao wagunduzi la zaidi gunduzi hizo wanawauzia waafrika vilaza kwa mamilioni ya Dollars na mikopo ya kishenzi.

Turudi ktk Uasilia wetu, na haya matatizo yote yatakwisha.
 
Kuna madawa mengine huwa wanachanjiwa yanaitwa bolaboka sema bhulabuka changanya na makorokoro mengine, hii ni konki hata agongwe na train 🚆 anatoka mzima
Hizi zipo sana.
Pande Pemba kuna maalim anakupa kakitu unameza hata wa kucharange mapanga hufi. Hulogeki unakuwa kama mfu.
Ila real kifo kikija, unapata kama kikohozi unakohoa ile kitu inatoka. Hapo huchukui round unakata moto.
 
Ukiipata hiyo dawa ufanye kama unaniuzia
 
Hizi zipo sana.
Pande Pemba kuna maalim anakupa kakitu unameza hata wa kucharange mapanga hufi. Hulogeki unakuwa kama mfu.
Ila real kifo kikija, unapata kama kikohozi unakohoa ile kitu inatoka. Hapo huchukui round unakata moto.
Aiseeee
 
Uongo. Maana yake hamkwenda mkasimama kuangalia?


 
Ru
Tumeshachelewa mkuu
 
Wewe kwa nini usiishi hivyo ukawa tajiri? Nyie motivational speakers wa kiafrika waongo waongo sana.
 
Ishu ni kwamba hata msingemtoa nje wala kumuweka kwenye nyumba ya nyasi muda ungefika angekata moto tu hakuna anayepanga kifo ispokuwa Mungu pekee na hakuna cha "bhufakale " wala nini uongo uongo uongo.

Uskubali kudanganywa tena.
 
Long story short kama kweli hizo tiba asilia zilikuwepo basi babu zetu wangeweza kutengeneza dawa ya kujikinga na risasi za wazungu, dawa za kuongeza nguvu kana kwamba muafrika mmoja angeweza kupambana na kikosi cha wauza watumwa , badala yake imekuwa kinyume chake kinjekitile ngwale aliwadanganya watu kwamba ana dawa ya maji ambayo wakiogea nayo wataweza kujikinga na silaha za wajerumani matokeo yake waliuwawa wengi mno.

Mkuu kwa kifupi ni kwamba usiwe unaamini hovyo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…