Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

izo dawa zipo, hadi mtu anaoza kinamna ila hakati moto
Mtu kufa anayepanga ni Mungu na si madawa ya asili kama kweli wana hiyo basi hata ya kuzuia uzee wangekuwa nayo sasa kuna faida gani kuishi umri mrefu hadi kuzeeka huku una mali nyingi na wakati ingekuwa rahisi kuzuia na uzee mtu uishi mpaka dunia ifike mwisho.
 
Mkuu acha apate mwanga wa jua😊😶
 
Mzee wangu alishanipa story Kama hizi... ila usichokijua ni kwamba yule mtu huwa anakuwa tayari kishakufa🤝

Evidence: wote wanaofikiaga hyo hali huwa hawawezi tena kuongea, kula, kusimama..... Anachoweza fanya ni kupumua na kutizama

Pia tizama yao huwa ya tofauti, na pumua yao huwa sio ya kawaida......

Miili yao huanza kutoa harufu ya umauti n.k
Wale huwa roho ishatoka lakini kuna elim flan flan huwa inapitika hapo katikati ambayo mtu wa kawaida hawezi elewa🚶🚶
 
KUFA ni nini?
Kwanini unakufa?
Hiyo dawa inazuiaje usife?

Kwamba ukinywa hiyo dawa hata figo zako zikifeli completely HAUFI?
Kwamba hata uking’atwa na black mamba hufi?
Kwamba hata ukipata ajali mbaya kiasi gani hautakufa? Nk nk nk?

Una justify vipi kwamba aliyekunywa hizo dawa alipaswa kuwa amekufa, labda alikatwa kichwa lakini bado anaishi?
Kwamba Moyo wake ulikwisha simama kitambo lakini bado anaishi?

Hizo ni hekaya kama hekaya zingine
 
Mwenye uwezo wa kutoa au kutokutoa uhai ni Allah pekee... Na si vinginevyo
Sasa kwa hio logic yako utabisha vipi kwamba sio Allah ndio ameleta hio dawa ili huyo jamaa abaki mpaka kinachotokea kikitokea ?

Ukishaamini upande huu ni vigumu sana kukataa upande ule kwa hoja zaidi ya wewe na yeye nyote kuwa kwenye mambo ya kufikirika hence hakuna wa kumshangaa mwenzake...

In short kwenye imani anything goes..., ila kama tunaongelea facts (known truth) hayo yote ya kwake na yako yanaingia kwenye kapu moja....
 
Bufakale ni hatari mkuu
 
Kama wewe ni mmoja wawafasi wa mfalme zumaridi na wenzie basi Uzi huu hutokaa uuelewe milele.

Ubongo wako wazungu wameuathiriki pakubwa sana.
 
Mkuu haya mambo ni makubwa na magumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…