Ndo hivyo mkuuUmekula bingo Mkuu ππ
View: https://www.instagram.com/p/DYCkbAWidkJ/?igsh=MXZ2ZjR2ejZkODg2eg==
Stocks in long run inalipa.Ndo hivyo mkuu
Mtego Sasa umelipaUlinikandia sana na kuniona kama tapeli, vipi unaonaje haliπππ
Mkuu umetisha sanaπ₯
Duuuh
Tembo nmb na kampuni gani nyingine mkuu
NICO wewe sio muumini kabisa?Tembo, NMB, Afriprise kidogo na DSE hizo nyingine ni kutokana na nilibadili broker so maana zinaonekana idadi ya 6
Jinsi watu walivyoupuza uamzi wako wa kutoka UTT kwenda HISA naona kabisa safari yetu ni ndefuKwanini Boss